Mswalie Mtume ukiwa na Gari zuri la kumtembelea sio unatembelea kubazi mwanzo mwishoKumtangaza allah na rehma zake yapaswa kuwa kipaumbele cha kila mja mwema. Mengine ni sunna na mswalie mtume.
Ila wanasema Elimu ya Dunia ime-copiwa kutoka kwenye Qur'an hujawahi kusikia hio?Ni vigumu kuwaona wakiongelea baadhi ya mambo kwa sababu wengi wao walijikita zaidi kwenye elimu ya madrasa wakasahau Elimu ya darasani na kuna mambo kuyajadili lazima shule iwe ya uhakika sio ya kutoa ujinga tuu
Kuna kilicho kizuri kuzidi pepo?Mswalie Mtume ukiwa na Gari zuri la kumtembelea sio unatembelea kubazi mwanzo mwisho
Nikuulize wewe kabla haujafika mbali najua Bible unaisoma vizuri sana fungua Wakolosai 2:8-12Kuna kilicho kizuri kuzidi pepo?
Wewe mtoto mdogo sana 32 yrs old unajiona mkubwa?Umeniita mtoto kwa kigezo kipi? Hunijui sikujui ungetumia memba ingekua poa kama ulishindwa kuniita mkuu!
Soma tena nilichokiandika ukiwa na akili timamu naona wewe ndiye unaropoka sasa
Sasa kuna shida gani mkiwanunulia hata Vitz ..mbona Sheikh Mkuu mmempa shangingi!Tatizo ni wachumia tumbo, kumhofu allah hakumo ndani mwao, na sasa wanataman wawe kama mapadre na maparoko ili nao wasipande bodaboda.
Hakika pepo ni ngumu. Mola pekee atunusuru na kundi hili la wanafiq
MGeukie mola upate kuepuke kiama. Tunza tundu zako mbili mpaka wakat sahihi.Kumbe! Basi samahani mkubwa wangu mimi nikajua miaka yangu hii 32 tayari nipo njiani naenda uzee
Mtume wetu SAW hakujua vits na bado alihubir rehma za mola mleziSasa kuna shida gani mkiwanunulia hata Vitz ..mbona Sheikh Mkuu mmempa shangingi!
Kama ingekua hivyo basi wale waliosoma sana hicho kitabu wangekua watu werevu sana lakini ni kinyume chake kabisaIla wanasema Elimu ya Dunia ime-copiwa kutoka kwenye Qur'an hujawahi kusikia hio?
Wanakwambia Elimu Ile ya NASA yote IPO kwenye Qur'anKama ingekua hivyo basi wale waliosoma sana hicho kitabu wangekua watu werevu sana lakini ni kinyume chake kabisa
Alafu ikawaje iwafaidishe Marekani badala ya Saudi ArabiaWanakwambia Elimu Ile ya NASA yote IPO kwenye Qur'an
Ndio hapo unaambiwa ugunduzi wa GMO wote upo kwenye Qur'anAlafu ikawaje iwafaidishe Marekani badala ya Saudi Arabia
Sasa unalinganisha enzi za mtume miaka 1500+ iliyopita?!Mtume wetu SAW hakujua vits na bado alihubir rehma za mola mlezi
Allah ni yule yuleSasa unalinganisha enzi za mtume miaka 1500+ iliyopita?!