Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Kwaiyo unataka waendelee kusofa?Hizi power za DPP kuamua kumpeleka Mtu Mahakamani na Kisha kuamua tena kutoendelea na shitaka wakati Mtu Huyo kasota rumande miaka kibao, linapaswa kuangaliwa upya.
Hii mamlaka ya DPP Haina tofauti na kumpa Mtu mmoja madaraka ya kukamata, kuhukumu, na kuachia mtuhumiwa.
Or else watuhumiwa wanaotumia kama Hawa kwa kukaa rumande muda mrefu, ilihali wanaathirika kisaikolojia na kiuchumi, Walipwe fidia na dola.
Waliowakamata wanaelewa makosa yaoWe unaongea bila kuelewa,chuki tu zimekutawala,ungetwambia makosa yao yalikuwa yapi uenda ungeeleweka,kuliko hayo usemayo,,,makosa ubainishwa na hukumu zake ujulikana,lkn hawa haijulikani walifanya nini.
hili jambo liangaliwe, its seems hamna sheria inayo limit mamlaka hayoHizi power za DPP kuamua kumpeleka Mtu Mahakamani na Kisha kuamua tena kutoendelea na shitaka wakati Mtu Huyo kasota rumande miaka kibao, linapaswa kuangaliwa upya.
Hii mamlaka ya DPP Haina tofauti na kumpa Mtu mmoja madaraka ya kukamata, kuhukumu, na kuachia mtuhumiwa.
Or else watuhumiwa wanaotumia kama Hawa kwa kukaa rumande muda mrefu, ilihali wanaathirika kisaikolojia na kiuchumi, Walipwe fidia na dola.
Mambo ya Masheikh kuwekwa ndani yalitokea kati ya 2012 na 2014 Rais akiwa Jakaya Kikwete. Hakuna chuki kwa Waisalamu na ndiyo maana hata wewe baba yako hakukamatwa na kuwekwa ndani kwa kuwa ni Muislamu safi.We unaongea bila kuelewa,chuki tu zimekutawala,ungetwambia makosa yao yalikuwa yapi uenda ungeeleweka,kuliko hayo usemayo,,,makosa ubainishwa na hukumu zake ujulikana,lkn hawa haijulikani walifanya nini.
Nenda kawaambie tena hao walioachiwa jana waendelee na mambo walikuwa wanafanya miaka ya 2012-14.Mbowe aliwahi ambiwa nae ni gaidi akaachiwa kama hawa walivyoachiwa.
Nakueleza tuu Mbowe aliwahi ambiwa ni gaidi, sasa na wewe angalia usije ambiwa hivyo. Tena Bora hawa wameachiwa, lkn Saa nane/kibao/soka na wengineo mpaka Leo hatujui wako wapi. Ndugu zao wanatamani wangefungwa japo kama hao mashekhe kisha baada ya Miaka 10/14 wakaachiwa. Kwahio Kila mtu yanamkuta kwa style yake.Nenda kawaambie tena hao walioachiwa jana waendelee na mambo walikuwa wanafanya miaka ya 2012-14.
Watu mnasahau haraka kama mende anayekula kwenye makabati na kuishi kwenye makaro ya maji machafu
Mbona wewe bwege hauko kati ya hao 12?? Ni kwa kuwa wewe in Muislamu safi lakini bwege.Dunia Haina HurumA.
Kuna Sehemu Umekaa Unajiaminisha Ujinga Huku Ukijiona Mjanja Na Chuki Zako Uchwara.
Jera Ni Haina Mwenyewe Hata Uwe Rais Wa Nchi Tegemea Linaweza Likukute Jambo Iwe Kwa Kutenda Au Kwa Kusingiziwa.Chunga Ulimi Wako Dogo.
Sasa wewe unaswali kwa kupigiza uso sakafuni huku matako umeweka juu ndiyo unadhani una akili kuliko mtu wa kanisa?? Acha dharau, hakuna unachojuwaHii Inaweza Kuwa Ndo Chanzo Cha Chuki Dhidi Ya Kile Ulichokitaja.
Hawa Wanahitaji Kitu Kidogo Tu Kuwafanya Magaidi.
Dhulma Ndo Chanzo Cha Kisasi Ila Ukiwa Na Akili Za Kikanisa Kanisa Huwezi Kuelewa.
Wametumikia Miaka Kumi Bila Sababu Za Msingi Alafu Kuna mtu Anashangilia Binadam Mwenzie Kuonewa Kisa Ni Mwislam Kaonewa Ila Tambua Mambo Hubadilika.
Unauhakika wameonewa?au unajisemesha kwa sababu ni wafunga ndevu wenzio.Hii Inaweza Kuwa Ndo Chanzo Cha Chuki Dhidi Ya Kile Ulichokitaja.
Hawa Wanahitaji Kitu Kidogo Tu Kuwafanya Magaidi.
Dhulma Ndo Chanzo Cha Kisasi Ila Ukiwa Na Akili Za Kikanisa Kanisa Huwezi Kuelewa.
Wametumikia Miaka Kumi Bila Sababu Za Msingi Alafu Kuna mtu Anashangilia Binadam Mwenzie Kuonewa Kisa Ni Mwislam Kaonewa Ila Tambua Mambo Hubadilika.
Mkuu umechanganya mafaili. Issue ya kushambuliwa Lissu au kupotea kwa akina Soka kama utaifananisha na issue za hawa magaidi unaonyesha upeo mdogo wa uelewa wa mambo.Nakueleza tuu Mbowe aliwahi ambiwa ni gaidi, sasa na wewe angalia usije ambiwa hivyo. Tena Bora hawa wameachiwa, lkn Saa nane/kibao/soka na wengineo mpaka Leo hatujui wako wapi. Ndugu zao wanatamani wangefungwa japo kama hao mashekhe kisha baada ya Miaka 10/14 wakaachiwa. Kwahio Kila mtu yanamkuta kwa style yake.
Na hata Wana CCM Leo ukiwambia hao wamepotezwa wanasema sio kweli wamejipoteza. Hata Lissu wanasema eti "alishambuliwa na wenzake".
Ndicho nachokueleza Kila mtu yanamkuta kwa aina yake, kipindi unasema hayo, wapo waliozingishiwa kuua wakakaa miaka 5 kama yule dogo wa Iringa, wapo wakina Mzee Kibao waliuouwawa wapo wakina Azory/Kaguye wote hao Kuna sababu wengine wakisema walishirikiana na Magaidi wa ikwilili. Kwahio Kila mtu asali kwa dini yake yasije yakamkuta.Mkuu umechanganya mafaili. Issue ya kushambuliwa Lissu au kupotea kwa akina Soka kama utaifananisha na issue za hawa magaidi unaonyesha upeo mdogo wa uelewa wa mambo.
Kwa kweli JK alipambana maana tulishafika pabaya mno.Uzuri kila anayetoka anaanza maisha upya. Toka wale wa UAMSHO akina Farouk na Mselem, hakuna tena anayeendekeza UJINGA.
Kweli gereza ni chuo cha mafunzo au ulaya wanaita correctional centre.
Hongera Kikwette kwa kuwadhubiti hawa "Siasa Kali wa Kiislamu. La sivyo nchi yetu ingekuwa kichaka cha Alshabab
Hivi kuna sababu gani yakuficha, kumbuka sisi ni binadamu si malaika.Mambo ya Masheikh kuwekwa ndani yalitokea kati ya 2012 na 2014 Rais akiwa Jakaya Kikwete. Hakuna chuki kwa Waisalamu na ndiyo maana hata wewe baba yako hakukamatwa na kuwekwa ndani kwa kuwa ni Muislamu safi.
Kwa akili yako ndogo ya kuzaliwa miaka ya 2000 huwezi elewa nini kilikuwa kimaendelea mapango ya Amboni Tanga na huko Kibiti, Mkuranga na Rufiji
Na kama walivyothibitishwa sio magaidi kwa kuachiwa huru!watathibitishaje wao si magaidi?
Mahakama imeshindwa kuthibitisha we nani uite wenzio ni magaidiunaanzaje kulipa fidia magaidi? Kuachiwa huru inatosha, wakatulie, waachane na harakati zao za kigaidi
Siyo huruma, ni udini umetumika.Sidhan kwamba walikamatwa kimakosa mpaka kuwa mahabusu hapo wametolewa kwa huruma tuu
Unajua ni madhara kiasi gani jamii iliepushwa nayo kwa hawa mashehe kuwa mahabusu? Hawa mashehe ndo wanafaa kulipishwa faini.Walipwe tu fidia wapate pa kuanzia