Masheikh mliosoma dini na kupata nyadhifa katika jamii acheni tabia ya kuchanganya dini na uganga/uchawi

Hiyo dini imejaa magicians
 
Hiyo dini imejaa magicians
Dini kama dini na mafundisho yake haina magic baadhi ya wasomi ndio hutumia usomi wao kulaghai watu na kuihusisha na uchawi ambao ni mila za kiafrika

Qur'an ni kitabu chenye makatazo mengi sana hasa yanayohusu kumshirikisha Mwenyezi Mungu na alivyoviumba
 
Qur'an inasemaje kuhusu majini ?
 
Qur'an inasemaje kuhusu majini ?
Majini ni viumbe wa Mwenyezi Mungu kama viumbe wengine na ambao wameamrishwa kumuabudu Mungu pekee, Allah anasema

51:56 - Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi.
 
Huwezi kuwa shehe usiwe mchawi,hivi unaujua msingi au mlango wa usihiri upo kwenye juzuu fulani
Hapana uchawi na uganga ni imani potofu ambazo zilikuwepo kabla hata waafrika hawakuletewa dini baada ya kuletewa dini wakachanganya mila zao na dini
 
Majini ni viumbe wa Mwenyezi Mungu kama viumbe wengine na ambao wameamrishwa kumuabudu Mungu pekee, Allah anasema

51:56 - Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi.
Ndio maana magicians wamejaa humo kwa sababu wamepewa rafki wa kuambatana naye.
 
Hakuna hicho kitu,hakuna mganga yeyote utakuta anakusomea bible wala kuihusisha na hayo madude.
Ishu sio mganga bali maandiko ya biblia yanaweza kutumika kwenye ushirikina na mtu yeyote yule, na nimetoa mfano Zaburi hutumika sana tu kwa mambo kama hayo tena ninacho kitabu kinaeleza jinsi unavyoweza kutumia Zaburi kwa shida mbalimbali.
 
Duh
 
Unatumia nguvu nyingi kuilezea shirk wakati ipo bayana kabisa kama unafanya hivyo vitendo acha utaingia motoni
Mbona mkuu unanihukumu? Ina maana kuchangia kwenye uzi wako ndio teyali nakuwa mfanyaji wa vitendo vya ushirikina?
 
Uislam ni dini ya ushetani, imejaa uchawi na ufugaji majini
 
Mbona mkuu unanihukumu? Ina maana kuchangia kwenye uzi wako ndio teyali nakuwa mfanyaji wa vitendo vya ushirikina?
Hapana sijakuhukumu ila nimekuonya ndio maana nimetumia neno "kama" maana yake sina uhakika kuwa unafanya shirki
 
Ni kumshirikisha mwenyezi mungu na kitu chochote,mfano kuomba kupitia makaburi ya mababu zetu,kuomba kupitia miti,kuomba kitu kwa mungu kupitia kitu kingine,kiumbe kingine.ni kumshirikisha mungu
Kwahiyo kwa mfano ukimuomba jini kitu au akusaidie kitu kama ambavyo unavyomuomba binaadamu mwenzako kitu au akusaidie jambo, hiyo pia ni kunshirikisha Mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…