Mapanga yalikamatwa kwenye mihadhara yaoMkuu, wafuata mkumbo ni wengi humu, mtu anasema wale ni magaidi ukimuomba ushaidi anapotea mazima π
Mama samia wala asipoteze muda wake kuingia na kufuatilia hii page, atakutana na chuki na ubaguzi kama kawaida.
Mungu asaidie waachiwe huru
Yanayoendelea msumbiji ni yapi?Navyoona yanayoendelea Msumbiji tena kwa muda wa miaka minne tu bora waendelee kusota ndani kwaajili ya usalama wao.
Kipindi cha Kikwete hadi walikuwa wanasokomezewa vijiti tigoni sijui walimkosea nini mzee wa msoga muislamu mwenzao.
Hapana mkuu siyajui bali nilimsikia hawara ya bibi yako akiwasimulia wenzake kibarazani wakicheza bao na kunywa kahawa na kashata.Yanayoendelea msumbiji ni yapi?
Unayajua?
Basi wacha ujuha kuzungumzia yanayotokea msumbiji kama huyajui.Hapana mkuu siyajui bali nilimsikia hawara ya bibi yako akiwasimulia wenzake kibarazani wakicheza bao na kunywa kahawa na kashata.
Mnaleta nadharia kwenye uhalisiaHunijui ndio maana unaniuliza haya maswali ambayo nimechagua kuto kuyajibu.
Mark my words, iwe miaka 1000 basi uamsho watatoka gerezani na atarudi kuishi na familia zao.
Historia inaonyesha hivyo. Tangu enzi za mitume, baada ya kipindi cha mitume na hata juzi juzi tu wakati wa kina Mandela.
Besides, ni sisi tu ndio tunajipa pressure lakini waliopata wasaa wa kuwatembelea uamsho gerezani wakiamua watatueleza namna ambavyo wametulia nafsi zao wakiacha kadari ya Allah ichukue nafasi yake.
Uamsho ni aina ya watu ambao wameelewa haswa maana ya Qadar na wapo wanamtumikia mola wao popote walipo. Wakijua fika kwamba ukiishi sana basi ni miaka 60-70 halafu unatembea. Wako wapi wafalme na maraisi waliokuwa wababe wakiogopewa Leo hii?? Futi sita ndani ya tumbo la ardhi.
Walikuwepo waliokuwa wanakaa ikulu na kulindwa na mabunduki kina Magufuli na Kijazi, wawapi Leo?? Kwahiyo Uamsho wapo, fikra zao zitaishi katika mioyo ya Wazanzibari daima dumu.
Kila la kheri mkuu na karibu tena Mtendeni uje ununue TV upeleke kwenu Kimbiji.
Mashekhe wahukumiwe watumikie halafu warudi kwenye familia zao
Kweni sheria zinasemaje?Kudai Zanzibar HURU NI kosa?
Kweni sheria zinasemaje?
ndiyo sababu nilisema guantanamowapo hapo ukonga na hawachangamani na mfungwa mwingine wao wako kivyao kabisa
Mapanga yalikamatwa kwenye mihadhara yao
Wewe unataka ushahidi gani?Story za kwenye kahawa, tushawazoea
Wautoe huo ushahidi wawanyonge kama ni kweli sawa itakua ni haki yao lakini hivi kila mwenye akili lazima atahoji huu upuuzi wa kisheria na uonevu unaofanywa nn muungano bana? Kinachotakiwa wajifunze ata kwenye mchakato wakatiba wananchi tena wa bara walitoa maini yao wakitaka serikali 3 huu niuhuni tu na ufedhuli wa baadhi ya watuUshahidi wa 1 kwa 1 inaweza ikawa Mimi na wewe ndio hatuna lakini deep state wanao !? Kupitia Mawasiliano Yao etc
Ni suala la muda tuu wataibuka wengine na wengine kwani na wao si wanaona faida ya muungano na hasara zake cha msingi kila pande ipate haki yakeFuatilia kilichotokea kwenye hizi nchi hadi zikafikia kugawana vipande viwili
1. Sudan
2. Somalia
Kisha fuatilia majaribio yaliyofeli ya watu kujitenga kwenye nchi hizi
1. Nigeria jimbo la Beni
2. Jamhuri ya kati
3. Kenya jimbo la Mombasa
Ukiangalia kwa jicho la tatu unaweza kuona mpangaji wa haya yote ni kikundi kimoja ambacho hicho kimejificha chini ya uamsho wa Zanzibar.
Na Znz ilivyo ndogo wakiachiwa dakika sifuri sumu imesambaa.
Hata sijui aisee unaambiwa mpaka lile kifaru lilikuepoKwa nini sasa!!?? Izo silaha mzito kwa ajili ya nini?
Wewe unataka ushahidi gani?
Ngoja waachiwe waje wajifunge mabomu kwenye maeneo ya watu familia yako ife ndio utapata ushahidi