Hunijui ndio maana unaniuliza haya maswali ambayo nimechagua kuto kuyajibu.
Mark my words, iwe miaka 1000 basi uamsho watatoka gerezani na atarudi kuishi na familia zao.
Historia inaonyesha hivyo. Tangu enzi za mitume, baada ya kipindi cha mitume na hata juzi juzi tu wakati wa kina Mandela.
Besides, ni sisi tu ndio tunajipa pressure lakini waliopata wasaa wa kuwatembelea uamsho gerezani wakiamua watatueleza namna ambavyo wametulia nafsi zao wakiacha kadari ya Allah ichukue nafasi yake.
Uamsho ni aina ya watu ambao wameelewa haswa maana ya Qadar na wapo wanamtumikia mola wao popote walipo. Wakijua fika kwamba ukiishi sana basi ni miaka 60-70 halafu unatembea. Wako wapi wafalme na maraisi waliokuwa wababe wakiogopewa Leo hii?? Futi sita ndani ya tumbo la ardhi.
Walikuwepo waliokuwa wanakaa ikulu na kulindwa na mabunduki kina Magufuli na Kijazi, wawapi Leo?? Kwahiyo Uamsho wapo, fikra zao zitaishi katika mioyo ya Wazanzibari daima dumu.
Kila la kheri mkuu na karibu tena Mtendeni uje ununue TV upeleke kwenu Kimbiji.