Ndio. Weka uhusika wake hapo

Nakukumbusha tu wakati wanakamatwa alikua waziri wa ujenzi,barabara sio ulinzi wala mambo ya muungano
Aliapa kutenda haki. Aliapa kwa kutumia bible kwamba atatenda haki.

It was open and clear that Uamsho were detained unlawfully.

Yeye kama rais alitakiwa ahakikishe haki inatendeka hata kama walikamatwa utawala usio wake.

Umemuona mtenda haki Mama Samia??
 
Ushahidi wako muhimu paleka kwa DPP ,
Kabla hujaomba ushahidi, elewa kwamba masuala ya ugaidi si sawa na kesi za ndoa na taraka. Fahamu kwanza sheria ya kimataifa ya ugaidi halafu ndipo ujitetee.
 
Ikiwa mahakama imewaona hawana hatia ,iweje wewe useme hivyo?
Kumwagia mtu Tindikali ni hatia ,kama wewe unao ushahidi si uende ukaweke pingamizi.!
Mzushi mkubwa weee!
Ushindwe na ulegee kwa jina la aliye Kuumba
Tena mwambie waambie hao waliomwagiwa Tindikali si waende waweke pingamizi.
 
Kinyago ni nini na nani anafanya kinyago muumba? Sijakuelewa.
 
Kwann uulizie utawala uliowakuta badala ya uliowafunga.Anza na wale viongozi wa zenji waliowatupia huku badala ya kuwaacha huko zenji. Jiwe hausiki hapa.
Anahusika kiasi chake.

Kama mtu anaependa haki alitakiwa ahakikishe haki inatokea.
 
Wewe ni msengerema? Hakuna mtu aliyetaka hawa waachiwe ila watu walitaka hukumu itoke maana kama wana makosa wafungwe kama hawana waachiwe full stop, kama wamemwagia watu tindikali wafungwe tu
 
Kama walikuwa hawana hatia basi sawa, ila kama kweli ni wazinguaji na wameachiwa kwa sababu tu za kisiasa itakuwa si sawa
Hizi kama kama zilitakiwa zitatuliwe mahakamani. Waliowakamata walitakiwa waithibitishie mahakama kwamba hawa wanayo hatia ambapo kwa muda wa miaka 9 wameshindwa.

9 fvckng years maaaaaan!
 
Au walitaka waungane na Kenya. Kama wanataka Muungano na nchi nyengine waheshimu kila kitu.

Pasu kwa pasu mapato yote ya Tanzania.

Hawataki wakaunģane na Congo au Kenya
 
Haki mlitakiwa muiombe kwa waliohusika. Kosa walifanya wazenji wenyewe na kalisahihisha mzenji mwenzenu

#Jiwehausiki
Anahusika kiasi chake.

Kama mtu anaependa haki alitakiwa ahakikishe haki inatokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…