Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Mkuu ila na yeye hajasema kwamba JPM ndio aliwafungachuki zingine huwaga zinamtoa mtu akili nakuwa kama anawaza kwa kutumia makalio sasa jpm ndiyo aliwafunga? kama ni dini aliyewafunga ni wakwao uwe unafikiria kwanza uuache mihemko
Mkuu DPP amesema waachiwa maana hawana hatia.Imekaa Njema kama hawana hatia.
Magufuli alipomtoa Babu seya wapo waliyofurahia na wapo waliyomlaumu kwa hilo jambo, na hili la masheikh wa uamsho wapo waliyokuwa wakiona kuwa masheikh wanaonewa na wapo wanaoona ni sahihi kuendelea kushikiliwa kwa hoja kwamba walikuwa sababu ya vurugu na uhalifu huko Zanzibar hivyo kukamatwa kwao ndio amani ilipatikana.Jiwe alimsamehe babu seya , wakati babu seya alishahukumiwa na mahakama. Hawa masheikh hata hiyo kesi ya kujibu hakuna. NI dhuluma kwenda mbele na serikali hii ya uvamizi ya Laanatullahi Nyerere na warithi wake
Masheikh hawajawahi kuchochea vurugu yoyote ile.Hawa mashehe wakatulie sasa wasije wakanda huko wakaanza kuchochea vurugu.
Imecheleweshwa lakini imetendekaHaki imetendeka
Magufuli alipomtoa Babu seya wapo waliyofurahia na wapo waliyomlaumu kwa hilo jambo, na hili la masheikh wa uamsho wapo waliyokuwa wakiona kuwa masheikh wanaonewa na wapo wanaoona ni sahihi kuendelea kushikiliwa kwa hoja kwamba walikuwa sababu ya vurugu na uhalifu huko Zanzibar hivyo kukamatwa kwao ndio amani ilipatikana.
Ni umbea kwamba huko jela kuna watu wengine ambao nao wameshikiliwa huko isivyo haki? kwamba ni hao masheikh tu ndio hawakuwa wakitendewa haki?Suppose Mama Samia ni muovu. Tufanye anapendelea, bible inatufundisha waive tuwaombee. Wewe nakwambia tumuombee Mheshimiwa rais wewe unaniambia tumuombee Sisi tu kwa maana hutaki kumuombea. Kwa style hiyo ni lazima niwe na mashaka kama kweli wewe ni Mtanzania.
Kuhusu hao wengine walioachwa ambao wewe unawajua sana hebu tutajie na Sisi tutafanya jitihada kufikisha majina yao kwa DPP ili nao kesi zao zishughulikiwe kwa haraka.
Usituletee tu umbea umbea tuletee majina na mimi binafsi nakuahidi through my own ways ntajitahidi kama mwananchi kupaza sauti yangu wapate haki zao.
Chadema tumepiga kelele sana kuhusu uonevu waliofanyiwa Mashekhe wa Uamsho.ujinga ni kufikiri wameachiwa sababu ya vyama vya upinzani.
Sio mimi nilichofanya hapo ni kueleza hoja za pande zote mbili.Kama unavyosema wewe kuwa amani ilipatikana ulikuwa wapi ukashindwa kupeleka ushahidi mahakamani juu ya vitendo vyao ? Mbona unapakazia tu??
Hivi amani ndiyo ile ya kupigwa watu wakati wa uchaguzi na kuuliwa huku yakiletwa majeshi ya kukodi kutoka Burundi kupiga watu ?
Ninyi ni watetezi wa udhalimuSio mimi nilichofanya hapo ni kueleza hoja za pande zote mbili.
mnawezasema mmewaachia tu sio mbaya pia.Chadema tumepiga kelele sana kuhusu uonevu waliofanyiwa Mashekhe wa Uamsho.
Mbona mgumu wa kuelewa. Tanzania ni nchi yenye sheria zake ambazo zinatakiwa kufuatwa. Hamna suala la kumuona mtu fulani ni kunguni. Kila anayefanya kosa sheria zitumike kama katiba inavyoelekeza.Nadhani kama ulishazaliwa kipindi cha 2012 na kuendelea utakuwa umeshuhudia mateso waliopata bainaadam na vifo kupitia vuguvugu za lililoanzishwa na hao jamaa, lakini kama utaona waliopata madhar walikuwa ni kunguni tuu na sii bunadamu utona poa tu wakiwa uraiani wakate waliowasababishia wanaozea makaburini
Kwani walifanya kosa gani?Wakatulie sasa watakuwa wamejifunza. Wakianza tena tutawachukua tena.
Nakuona Roho inavyokuuma kwa Mashekhe wa Uamsho kuachiwa huru.mnawezasema mmewaachia tu sio mbaya pia.
Mkuu DPP amesema waachiwa maana hawana hatia.
Sio kama mkuu, mbona unafeli kizembe??
labda kama huna akili kutojua aina ya uhalifu waliokuwa wakiufanya.Nakuona Roho inavyokuuma kwa Mashekhe wa Uamsho kuachiwa huru.
Hivi Chadema imekutia mimbakutoka ni jambo jema,ila kuacha harakati zao za kichadema ni jambo jema zaidi kwa nchi nzima.
Acha kusambaza chuki sambaza upendo One love.Ole wa wakristo mkaao Zanzibar maana wamwaga tindikali wamerudi,je wataendelea kuua mapadri na kuwamwagia tindikali wakristo,yangu macho.
kwani jpm alikulawiti!!!Hivi Chadema imekutia mimba