Ikiwa mahakama imewaona hawana hatia ,iweje wewe useme hivyo?
Kumwagia mtu Tindikali ni hatia ,kama wewe unao ushahidi si uende ukaweke pingamizi.!
Mzushi mkubwa weee!
Ushindwe na ulegee kwa jina la aliye Kuumba
Endeleeni tena kuwamwagia tindikali Watanganyika wenzetu na Wakristu waishio huko Zanzibar halafu muone tutakacho wafanya.

Kama hamtaki Muungano tafuteni njia sahihi a kuukataa! Na siyo kuwaumiza raia wasio na hatia.
 
We mbwa chunga maneno yako. Usijiingize kwenye mtego haupo salama kama unavyozani.
 
Haki itadaiwa kwa njia zozote hata kama watafsiri hatua hiyo ni vurugu...

Na haya mambo asikudanganye mtu, chanzo chake kikuu ni MUUNGANO tu..
Huu ni wakati wenu muafaka wa kujitenga na Tanganyika. Mtumieni Mzanzibar mwenzenu kufanikisha jambo hilo.

Binafsi naamini hata Zanzibar ikijitenga kesho, Tanganyika haina cha kupoteza! Zaidi mapato yetu yataongezeka! Maana tutaanza kuwatoza wengi wenu mnaoishi Tanganyika vibali vya kufanya kazi na kidi nyingine mbalimbali.
 
Wakaingia Zanzibar wakaleta zile harakati, wanaswekwa ndani huko.

Michezo na serikali nimemuachia Mandela.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Naona unahamisha mjadala. aliyewaharibia ni kiongozi aliyekua huko kisha aliyewakaribisha gereza la bara halafu mkuu wote ni wale wa swala tano.

#Jiwehausiki
Huko si ni kuwaharibia kwenye Jamii then hawana hatia hapo si kuchezea haki za watu tu
 
Halafu binadamu hatuna shukurani kabisa .Ukiangalia swala la muungano ni wazanzibari kwa kiasi kukubwa ndo wananufaika na huu muungano lakini eti hawautaki.wana haki ya kumiliki Aridhi ,kupata uongezi huku bara lakini ajabu bado wanadai wanaonewa.hii n ajabu kabisa na inabidi wajitafakali waache unafiki na kudeka.haikubaliki kabisa.Sisi ni ndugu inabidi tuishi kwa upendo maana umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu.
 
Kwa muda huo waliokaa segedance watakuwa hawana hamu tena ya kuropoka, wataufyanta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…