Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Basi wafidiwe, wakate rufaa kwa kupotezewa mudaKesi za kubambikwa hata ukae miaka 50 ushahidi hauwezi kamilika zaidi ya jamhuri kuaibika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi wafidiwe, wakate rufaa kwa kupotezewa mudaKesi za kubambikwa hata ukae miaka 50 ushahidi hauwezi kamilika zaidi ya jamhuri kuaibika
Hao waliokaa ndani miaka 8 walikuwa wanalala gereza tofauti na watuhumiwa?
Endeleeni tena kuwamwagia tindikali Watanganyika wenzetu na Wakristu waishio huko Zanzibar halafu muone tutakacho wafanya.Ikiwa mahakama imewaona hawana hatia ,iweje wewe useme hivyo?
Kumwagia mtu Tindikali ni hatia ,kama wewe unao ushahidi si uende ukaweke pingamizi.!
Mzushi mkubwa weee!
Ushindwe na ulegee kwa jina la aliye Kuumba
Wanufaika wa muunganiko ni WazanbarMashekh wangu aluta Continua,
Madai ya Zanzibar yenye Mamlaka yake katika Muungano yako pale pale...
Ndio hivyo maana ye ndio rais kivuliBasi ndiye aliyewaachia. Kaona isiwe taabu.
Kukaa miaka 8 kuna tofauti gani na kufungwa miaka 8?Wenye huku na watuhumiwa watakua wana sehemu zao
We mbwa chunga maneno yako. Usijiingize kwenye mtego haupo salama kama unavyozani.Mashekh wangu aluta Continua,
Madai ya Zanzibar yenye Mamlaka yake katika Muungano yako pale pale.
Kapumzikeni kidogo, karibuni ttaliamsha tena Dude, kwani Zanzibar bado imekaliwa kmabavi,Labda Huyu Bi kubwa afanye mndingo yake kuikwamua.
Tanzania = Tanganyika + Zanzibar
Tukipata mapato tugawane sawa sawa,
Kama Hamtaki nendeni mukaungane na Kongo ikiwa sisi munatuona wadogo, Wle ndio saizi yenu.
Huu ni wakati wenu muafaka wa kujitenga na Tanganyika. Mtumieni Mzanzibar mwenzenu kufanikisha jambo hilo.Haki itadaiwa kwa njia zozote hata kama watafsiri hatua hiyo ni vurugu...
Na haya mambo asikudanganye mtu, chanzo chake kikuu ni MUUNGANO tu..
Kukaa miaka 8 kuna tofauti gani na kufungwa miaka 8?
Muhimu ni kuwa na akili za binadamu tu! Usingoje msamaha wakati akili yako imepinda.Mama Samia Suluhu kaamua kuacha fitina!
Mdude CHADEMA naye atakuwa huru soon!!
Huko si ni kuwaharibia kwenye Jamii then hawana hatia hapo si kuchezea haki za watu tuTofauti hawakupewa huku kuitwa rasmi magaidi bali watuhumiwa
Huko si ni kuwaharibia kwenye Jamii then hawana hatia hapo si kuchezea haki za watu tu
Huyo pusha hawezi kuachiwa, mvua zinamsubiri.Mama Samia Suluhu kaamua kuacha fitina!
Mdude CHADEMA naye atakuwa huru soon!!
Utawala wa dikteta ulikuwa mbaya snMama Samia Suluhu kaamua kuacha fitina!
Mdude CHADEMA naye atakuwa huru soon!!