Masheikh wakiamua kuingiza siasa kila kipindi cha swala itakuwaje

Hawajui vitu..elimu,elimu...sasa mnakusanyika kumsikiliza mtu kama yule Kipozeo..muda wote makalio tu
 
Sijaona point ya msingi
Phd ni ada tu watu wanashindwa mudu
Hata hao jamaa bila ufadhili wasingetoboa

Alafu usichokijua unaweza ukawa na phd na ukawa mpuuzi tu, tunao wapuuzi kibao na mnawaita wasomi
Kumbe umeona ilivyo gharama?
Sasa mbona unaibeza?
Licha ya gharama,kichwa kiwe kisafi
Pia maadili.

Ndo maana siyo wote waliweza kusurvive hiyo elimu hadi mwisho.


Kwahiyo unadhani kati ya Mafather wa TEC wote wale na wewe ,nani ni mpuuzi?
Unapowazungumzia Maaskofu wa TEC jaribu kuwapa heshima yao.
 
Hawajui vitu..elimu,elimu...sasa mnakusanyika kumsikiliza mtu kama yule Kipozeo..muda wote makalio tu
Kwahiyo kipoozeo ndio kgezo cha kukashifu washekh wote??
Nanyie vipi vule mpuuzi anaetembeaga na mabango ya kupinga uf!raj!?? What abt Zumaridi??? Vp kuhusu huyo wa kenya alieua wenzie na njaa??

Siku nyingine uwe unatumia akili kufikiri
 
Kabisa, tatizo watu wanashindwa kumtambua adui ni nani kwenye hili Sakata la Mkataba wa Bandari.
 
Wakiingiza siasa katika kutetea DP World maana yake ni kutaka Tanganyika iwe koloni la Dubai.

Na hapo ndio utakapo wanna Masheik wasivyokuwa na matumizi sahihi ya akili.
 
Unawazungumzia masheikh gani au ni wale masheikh ubwabwa awana wanachokijua zaidi ya kukariri kiarabu
 
Magaidi hawana uwezo wa kuandika waraka.

Hawajui vitu..elimu,elimu...sasa mnakusanyika kumsikiliza mtu kama yule Kipozeo..muda wote makalio tu
Mtu mwenye aya moja tu kichwani ni bora kuliko TEC yote kwa sababu ana matamko ya Mungu sio matamko ya watu yenye kufata matamanio.
Ukifuata matamko ya Kipozeo sio kumsikiliza tu hutapotea kamwe.Matamko ya TEC ukifuata utachanganyikiwa bure.Mbele ni nyuma na nyuma ni mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…