Masheikh wakiamua kuingiza siasa kila kipindi cha swala itakuwaje

U know nothing kuhusu kanisa mkuu kaa kimya. Unaweza kukuta nusu ya masheikh ni wakatoliki we hujui tu
 
Umetamka vyema hapo.Vitu vinachukuliwa vinaisha na hamsemi neno.Bandari itatumika na tukiona kuna shida tutazuia wenyewe lakini bado wanaona bandari ndio mkataba mbaya pekee.Udini na maslahi yao tu.
Elimu kidogo tu inayotekelezwa ni bora kuliko nyingi isiyotekelezwa na elimu iliyoganda kichwani ni bora kuliko ile iliyojaa kwenye makaratasi
 
Bro issue siyo tamko pekee, je wanahoja ya maana ya kutolea tamko?? Kwani tec wametoa tamko la kupinga uislamu? Kama masheikh wanaungana na tec kutoa tamko la kupinga mkataba wa DP itakuwa saf Sana. Hizi hoja za kuchonganisha dini ni ujinga wa juu mno. Sisi ni Watanzania,anayeuza nchi ndiyo adui wetu na si hoja za maaskofu na masheikh wala ukristo na uislamu.
 
Chama cha CUF ndio kilikuwa Chama cha misikitini, tatizo masheikh wengi hawana elimu wamesoma Quran tu.

Baraza la maaskofu linaundwa na PhD na degree holders tu, lile ni zaidi ya baraza la mawaziri.
Kama zilizokaa na kutoa huo walaka ni PhD

Am hereby to address that PhD its piece of paper and am hereby to confirm that its simple to have educational badge but not being educated [emoji1787]
 
Shida ni mkataba na Sio uarabuni na uislam.
Mbona waarabu wengi tu wamewekeza nchini bila shida
 
Kwenye kukutana, unauhakika. Wakristo wanakutana mara moja kwa wiki?
 
Zogo la bandari lishakuwa mvutano baina ya dini kongwe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…