Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
Masheikh waliokaa Gerezani miaka 9 wamehukumiwa kunyongwa
Utawala wa Magufuli uliwapa kesi ya Ugaidi. Utawala wa Samia sasa kuwanyonga. Walio hukumiwa ni Sh. Mohammed Hassan na Sh. Rajab Ali.
Sh. Kurwa Othman ameachiwa huru.
MASHEIKH wengine bado wanasota jela.
Aloo hii ni balaa, kwahiyo baada ya kukaa miaka yote ile wamewarudisha tena ili hukumu yenyewe itekelezw
Akili za kuambiwa changanya na zako! Hii ni kutaka ku- justify kuwa kesi ya UHAINI lazima unyongwe. Maanake ni kuwa hata Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu kwa kesi ya KUGHUSHI ya uhaini alopewa lazima na yeye anyongwe!!!Masheikh waliokaa Gerezani miaka 9 wamehukumiwa kunyongwa
Utawala wa Magufuli uliwapa kesi ya Ugaidi. Utawala wa Samia sasa kuwanyonga. Walio hukumiwa ni Sh. Mohammed Hassan na Sh. Rajab Ali.
Sh. Kurwa Othman ameachiwa huru.
MASHEIKH wengine bado wanasota jela.
Waislamu hiyo kawaida sana Dini Yao haina MsamahaBakwata wanasemaje🐒
Ni kweli kabisa ulichoelezaMauwaji ya Kibiti yalikuwa ni ya kisiasa zaidi kuliko wanavyoaminishwa watu
Safi sanaaa!kwenye suala la ugaidi,awe sheikh/askofu/imam/padri wote sukuma ndani piga kitanzi!!kazi kuua tu watu wasio na hatia!!km mnataka kuua chukueni silaha mkavamie lugalo lkn sio kupanga njama za kuua watu wasio na hatiaMasheikh waliokaa Gerezani miaka 9 wamehukumiwa kunyongwa
Utawala wa Magufuli uliwapa kesi ya Ugaidi. Utawala wa Samia sasa kuwanyonga. Walio hukumiwa ni Sh. Mohammed Hassan na Sh. Rajab Ali.
Sh. Kurwa Othman ameachiwa huru.
MASHEIKH wengine bado wanasota jela.
Wanyongwe tu hakuna shekh mwenye manufaa yoyote kwa tanzania....bali kinyume chake wapo waislamu kazi yao ni kutetea upuuzi wa wenzao tu... utasikia muislamu anamsifu kikwete ....au bibi titi au samia sifa za kipuuzi za kina mwijaku .... hakuna tofauti ndogo sana baina ya mashekh na mwamposa.Masheikh waliokaa Gerezani miaka 9 wamehukumiwa kunyongwa
Utawala wa Magufuli uliwapa kesi ya Ugaidi. Utawala wa Samia sasa kuwanyonga. Walio hukumiwa ni Sh. Mohammed Hassan na Sh. Rajab Ali.
Sh. Kurwa Othman ameachiwa huru.
MASHEIKH wengine bado wanasota jela.
Mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mtu ni Mungu tu mwanadamu hana.Infact kama akiwanyonga atakuwa ametafuta ugomvi na uadui na Mungu.After all atapata faida gani akiwanyonga,nothing.Mtu mwenye akili hafanyi jambo lisilo na faida.Afikirie mara mbili kabla ya kufanya uovu huo.Masheikh waliokaa Gerezani miaka 9 wamehukumiwa kunyongwa
Utawala wa Magufuli uliwapa kesi ya Ugaidi. Utawala wa Samia sasa kuwanyonga. Walio hukumiwa ni Sh. Mohammed Hassan na Sh. Rajab Ali.
Sh. Kurwa Othman ameachiwa huru.
MASHEIKH wengine bado wanasota jela.
Bado Lissu!Masheikh waliokaa Gerezani miaka 9 wamehukumiwa kunyongwa
Utawala wa Magufuli uliwapa kesi ya Ugaidi. Utawala wa Samia sasa kuwanyonga. Walio hukumiwa ni Sh. Mohammed Hassan na Sh. Rajab Ali.
Sh. Kurwa Othman ameachiwa huru.
MASHEIKH wengine bado wanasota jela.
Hapo inatafutwa justification ya Lissu naye ahukumiwe kunyongwa hadi afe.Masheikh waliokaa Gerezani miaka 9 wamehukumiwa kunyongwa
Utawala wa Magufuli uliwapa kesi ya Ugaidi. Utawala wa Samia sasa kuwanyonga. Walio hukumiwa ni Sh. Mohammed Hassan na Sh. Rajab Ali.
Sh. Kurwa Othman ameachiwa huru.
MASHEIKH wengine bado wanasota jela.
Huyo yuko radhi Waislamu wenzake wanyongwe ili mradi yeye apewe sega la asali ale na familia yake.Sheikh Mkuu anasemaje?
Huyo jamaa akipewa bunduki haki ya mungu atapindua nchi😀😀Malaria 2 alitakiwa na yeye aunganishwe kwenye hiyo kesi. Maana ana viashiria vyote vya kuhatarisha amani ya nchi.
Greatly ImpossibleHapo inatafutwa justification ya Lissu naye ahukumiwe kunyongwa hadi afe.
Ni vitisho tu hakuna hiyo hukumu😀😀Hapo inatafutwa justification ya Lissu naye ahukumiwe kunyongwa hadi afe.
Umeona mbali sana Mkuu. Ni coincidence.Naona wanawaandaa kisaikolojia watz 'wanyonge' ili wakiamua hivyo kwa TAL isionekane ni ajabu sana