Wao walipoua vipi wao walikuwa na haki?Mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mtu ni Mungu tu mwanadamu hana.Infact kama akiwanyonga atakuwa ametafuta ugomvi na uadui na Mungu.After all atapata faida gani akiwanyonga,nothing.Mtu mwenye akili hafanyi jambo lisilo na faida.Afikirie mara mbili kufanya uovu huo.
inamruhusu hata kuwaachia huruMama atabadili hukumu hiyo na kuwa kifungo cha maisha halafu tutaambiwa anaupiga mwingi unless sheria haimruhusu.
mnajidanganya sana hapo kwa lissu , lissu yeye anapotezewamuda tu hii kesi itafika mwaka 2026, we fikiria kila ikienda mahakamani kuna pingamizi nalo inakuwa kesi ya kufanyia maamuzi inapigwa kalenda yaani hapo hata kesi yenyewe haijaanza kusikilizwa yaani mpaka kesi ianze kusikilizwa mwezi wa kumi huko yaanai lissu atanyooka tu mpaka akiitwa ikulu atakimbilia huko kama alivyofanywa mbowe kwenda kukaa mezani sasa uongea hii kesi siyo ya kuisha leo wala keshoM
Akili za kuambiwa changanya na zako! Hii ni kutaka ku- justify kuwa kesi ya UHAINI lazima unyongwe. Maanake ni kuwa hata Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu kwa kesi ya KUGHUSHI ya uhaini alopewa lazima na yeye anyongwe!!!
wacha tuone👿Mama atabadili hukumu hiyo na kuwa kifungo cha maisha halafu tutaambiwa anaupiga mwingi unless sheria haimruhusu.
Hao walikua wanaondoka na kijiji zenji kisiasa,wakiunganisha wazenji kupitia diniHakuna uhusiano wowote na chama kwenye hayo mashitaka yao.
Siyo Lissumnajidanganya sana hapo kwa lissu , lissu yeye anapotezewamuda tu hii kesi itafika mwaka 2026, we fikiria kila ikienda mahakamani kuna pingamizi nalo inakuwa kesi ya kufanyia maamuzi inapigwa kalenda yaani hapo hata kesi yenyewe haijaanza kusikilizwa yaani mpaka kesi ianze kusikilizwa mwezi wa kumi huko yaanai lissu atanyooka tu mpaka akiitwa ikulu atakimbilia huko kama alivyofanywa mbowe kwenda kukaa mezani sasa uongea hii kesi siyo ya kuisha leo wala kesho
Sio uhamsho wale ‘bi-tozo’ alipoingia tu aliwatoa japo makosa yao walikuwa wanafanya mchana kweupe.Hao walikua wanaondoka na kijiji zenji kisiasa,wakiunganisha wazenji kupitia dini
Hebu nikumbushe kesi yaoSio uhamsho wale ‘bi-tozo’ alipoingia tu aliwatoa japo makosa yao walikuwa wanafanya mchana kweupe.
Hawa ni masheikh wa bara
Bakwata waseme Nini wako chini ya sirikaliBakwata wanasemaje🐒
Sina uhakika hawa ni masheikh gani wanao ongelewa habari aipo kamili. Kuna masheikh Arusha walikamątwa kwa ugaidi na kuna masheikh wa Kibiti.Hebu nikumbushe kesi yao
Hawanaga la kusema mbele ya mkate wenye siagi labda siagi iingiwe mchangaBakwata wanasemaje🐒
Masheikh waliokaa Gerezani miaka 9 wamehukumiwa kunyongwa
Utawala wa Magufuli uliwapa kesi ya Ugaidi. Utawala wa Samia sasa kuwanyonga. Walio hukumiwa ni Sh. Mohammed Hassan na Sh. Rajab Ali.
Sh. Kurwa Othman ameachiwa huru.
MASHEIKH wengine bado wanasota jela.
anakula ubwabwa na ndizi badoSheikh Mkuu anasemaje?
NI kukikundi cha hovyo kabisaHawanaga la kusema mbele ya mkate wenye siagi labda siagi iingiwe mchanga
Check and bala hakuna kitu hapo porojo tu. Mlengwa ni TALMasheikh waliokaa Gerezani miaka 9 wamehukumiwa kunyongwa
Utawala wa Magufuli uliwapa kesi ya Ugaidi. Utawala wa Samia sasa kuwanyonga. Walio hukumiwa ni Sh. Mohammed Hassan na Sh. Rajab Ali.
Sh. Kurwa Othman ameachiwa huru.
MASHEIKH wengine bado wanasota jela.
Heri ya kunyongwa kuliko kuishi maisha ya kutengwa kwenye selo ambako huitwa 'condemn' kwa maisha yote!“Wahukumiwa kunyongwa hadi kufa” hii kauli inatisha sana but kinachowafariji ndugu wa mlengwa hii hukumu bongo haitekelezwi.
Ni wakati mgumu mno kupitia hali hii.