Masheikh Waliokaa Gerezani miaka 9 wahukumiwa kunyongwa hadi kufa

Tuzitiii mamlaka walisikia masheikh juzi walisema ikiwa kutokubaliana na azimio la TEC sikukuu ya pasaka
 
“Wahukumiwa kunyongwa hadi kufa” hii kauli inatisha sana but kinachowafariji ndugu wa mlengwa hii hukumu bongo haitekelezwi.

Ni wakati mgumu mno kupitia hali hii.
Nani kakuambia haitekelezwi?!! Huna habari inaonekana na hizi mambo
 
MAMA ANAUPIGA MWINGI 🤣🤣🤣🤣
 

Ni aibu sana kushabikia hukumu yoyote kwa niaba ya manguli wabambikia kesi hawa:



Tate Mkuu na ni mmoja wao? Au ni huyu bumunda MK254 kadukua account yako?

Malaria 2 usikonde katika utawala wa Lissu ndani siku 100 wote wakiwamo hawa watakuwa huru.

Au nasema uongo?
 
Yaani watu wamelishwa matango pori nao kwa kuwa hawana kitu kichwani wakabeba mazima.
Brigedia General ..... aliyelazwa njia ya kwenda Kisiju alikuwa shekhe!!?
Ile MKIRU ilikuwa ni siasa na wala sio dini.
Ile iliyokuwa siasa ni vile tu watu wameamua kupotosha wanasingizia dini. tulioishi kule kipindi kile ndo tunajua uhalisia wa mambo yalivyokuwa yanakwenda. Ila acha tu tukae kimya tufunge mabakuli
 

Ni kweli kabisa kwamba Ugaidi haukubaliki kamwe.

Lakini katika nchi za Afrika, tuhuma za Ugaidi huwa wanabambikiwa wale Watu ambao mara nyingi sana huwa ni Vinara wa kuongoza mapambano ya kudai haki dhidi ya Tawala za kidhalimu na za kidikteta. Tuwe waangalifu sana kwenye suala hili kwani Wahanga na Waathirika wakubwa kabisa wa Tuhuma hizo ni Raia wema Wapigania Haki wanaopingana na Watawala wadhalimu.

Mathalani, hata aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini Bw. Nelson Mandela alifungwa jela gerezani kwa kwa takribani miaka 27 kwa kosa/tuhuma zilizodaiwa na Utawala wa Ubaguzi wa rangi wa Makaburu kuwa eti Mandela alikuwa anajihusisha na 'vitendo vya kigaidi.'
 
Sasa wana shida gani siwakinyongwa wanaenda peponi kupewa mabikra 72
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…