Masheikh Waliokaa Gerezani miaka 9 wahukumiwa kunyongwa hadi kufa

Yaaani wewe, kwa sababu Baba yako Domozege hajui kutongoza mpaka Mamako akajitongozesha basi unajua na wanaume wote wapo legelege na watanyooka na kukaa meza moja kama Babako.

Usharambishwa peremende wewe mpaka Makaliooo yamelegea duuuuu.
😄😄😄
 
Kinachoangaliwa zaidi ni chama, kama upo kinyume na sera za chama haijalishi hata kama ni ukoo moja
Chama kimeingilia wapi vitu vingine sio siasa tu mkuu je? Umefatilia swala lao kiundani na kuchunguza nini kimesababisha wahukumiwe hvyo??? Swala la kibiti huongelei unakurupuka kusema chama...fikiri kabla ya kuandika
 
..mwenendo wa kesi ya Mashekhe upo?

..maana tukiupata tutaweza kujua hoja walizoshtakiwa nazo, utetezi wao, pamoja na hukumu.
 
Makubwa
Maaskofu wakipiga kelele wanaambiwa wasiingilie siasa, sawa 😳🤔
 
M



Akili za kuambiwa changanya na zako! Hii ni kutaka ku- justify kuwa kesi ya UHAINI lazima unyongwe. Maanake ni kuwa hata Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu kwa kesi ya KUGHUSHI ya uhaini alopewa lazima na yeye anyongwe!!!
Very true,wanaabdaa mazingira!

Uliona tweet ya Lema?
 
Hii ndiyo legacy ya mzilankende Magufuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…