Masheikh wenye vyeo Serikalini msimamo wenu ni upi kuhusu Uislam?

Kuna watu wanapindisha kwa makusudi hoja yako wewe unachataka kujua vipi wakiwa misikiti, mihadhara na madrasa waukatae ukristo kua si dini, ila kwenye hafla za kiserikali wautambue ukristo kua ni dini?.


Nadhani hoja yako iko hapo
 
Kuna watu wanapindisha kwa makusudi hoja yako.wewe unachataka kujua vipi wakiwa misikiti,mihadhara na madrasa waukatae ukristo kua si dini,ila kwenye hafla za kiserikali wautambue ukristo kua ni dini?.


Nadhani hoja yako iko hapo
Ni kweli hoja ipo hapa..kiukweli hao viongozi wa dini wengi wachumia tumbo..na hutumia waumini wao wajinga wasio jielewa kama ngazi ya kufikia mambo yao binafs kwa mgongo wa dini..kumbuka dini hazina mashiko kwa mwanadamu na ni kitu ambacho sio tangible..ili kiweze kuwa tangible ni kuweka hisia za hofu..uoga na utengano ili kuweza kupata waumini na waendelee kuwepo katika dini husika.

Ila wenzetu kwakua wamejazwa ujinga..na wengi wawajielewe..na kwa kuwa wana inferiority complex..basi ule uoga na ujinga..umejaa chuki na husuda.

Wakulaumiwa ni hao viongozi wao wachumia tumbo mana wamejaa unafiki.

All in all dini zimekuja kuleta utengano sana hasa katika jamii zetu za afrika....i wish wazee wa NWO watuondolee huu upumbafu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naaamini kati haya uliyosema,ila kwa hizii jamii zetu ni vita kuyaeleza haya hadharani. Kuna mtu ikitajwa dini yake kwa maana ya kukosoa/kuhoji, badi yuko radhi hata kupigana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Ajabu watu aiana hiyo ukifuatilia matendo yao katika maisha yao ya kila siku ni uovuu mtupuuu.
 
Bora uamini kwenye sayansi..kuliko ujinga wa dini..afrika dini zimetuletea umasikini wa kutupwa..ulaya sayansi inawaletea utajiri na ustaarabu.

Ila wagalatia na warabu weusi walivyozingangania huwaambi kitu..kumbe ni ujinga tu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusitoane Roho tu kwasababu ya Dini.chonde chonde.
Waislamu wao kwa wao kutoana roho kitu cha kawaida

Mfano Somalia ni waislamu watupu ila kutwa wanatwangana

Wakristo tuna imani tofauti ila huwa hatupigani sababu ya tofauti za imani zetu waislamu ngumi kuwaka kwa tofauti za kiimani ni dakika tu Raisi Mwinyi alishaeahi chapwa makofi kwenye hafla ya kiislamu kisa kutofautiana tu imani

Mashia na ma sunni kulipuliana misikiti kawaida sana wakati wote waislamu

Mwislamu siasa kali na mwislamu Bakwata wakikutana moto kuwaka dakika tu
 
Bakwatwa ni tawi la ccm kama uwt na uvccm..hao ni wazee wa makongamano ya kusifu na kuabudu viongozi wa chama..baada ya hapo ubwabwa na posho juu mchezo umeisha.

Wale wengine wao wanataka bikra 7 kule akhera.

Kweli dini ni ulevi kama ilivyopombe na madawa ya kulevya.

Halafu huu ujinga upo sana afrika..ndio mana jamii zetu kila siku ni umasikini..magonjwa..ujinga..unafiki ndio vimejaa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini Allah asiwape maisha huko walipo mpaka wengine wakafie baharini kwa kugombania kuingia katika nchi za makafiri?
Kwanza hakuna nchi ya makafiri, lakini pia hata hao wazungu wapo kwenye nchi za waarabu na hadi huku afrika pia wapo kote ni issue za maisha haihusiani na Allah wala Yehova.
 
Mkuu wewe ulitaka Bakwata wafanyaje au ulitaka nao kiwakute kama kilichowakuta Uamsho? Maana kumpa kesi ya ugaidi muislamu ni jambo jepesi sana hivyo fikiria hilo mkuu.
 
Hilo pengine linachangia na watu wa imani husika wanaipa uzito kiasi gani hiyo imani yao, changine hapo utaona imani moja imegusa sehemu kubwa ya maisha na hivyo inawagusa sana hao waumini tofauti na imani nyengine imejikita sana kwenye kuabudu na kuomba tu inakuwa sio sana kutokea migogoro.
 
Utengano unaweza kuufanya kwa kutumia lolote lile sio dini tu hata ukabila unaweza kutumia kuleta utengano, leo hii watu wanavunja hadi udugu kwa sababu ya pesa kwahiyo chochote kile kinaweza kutumika kuleta utengano na kinaweza kutumika kuleta umoja.
 
Kila kitu kina makusudio yake maisha ni zaidi ya utajiri tu mkuu ndio maana huko ulaya pamoja hiyo sayansi ila bado wana imani na tamaduni mbalimbali kwenye maisha yao kwa sababu sayansi ina nafasi yake na hayo mambo mengine yana nafasi yake,sayansi sio jibu la kila kitu mkuu kwenye maisha.
 
Hapo ni wazi kabisa kuna unafiki fulani unaendelea. Mtu anakuwa na mawazo kwamba dini yake ni bora kuliko za wengine na chuki za chini chini na dini ya mwenzie. Ila akiwa mbele ya umma anajifanya hana tatizo lolote na dini nyingine ili kulinda nafasi aliopewa na serikali aendelee kufaidika kiuchumi
 
Kuna mwenzako kauliwa Huko Mozambique
 
Sayansi na uvumbuzi wameipa nafasi kubwa zaidi..kuliku ujunga mwingine..ndio mana leo waanavumbua makubwa ambapo wewe na mimi hatujayawaza..mana tumefungwa na ujinga na upumbafu..kupitia mambo kama ya dini.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi umeishia hapa
 
Eti quran imeshushwa na unaamini ila mkristo akihubiri injili na kuponya hutaki!mimi suala la quran kushushwa naona bonge la usanii!
Huo ni muono wako mkuu, na hakuna muisilamu anaekataa injili, katika Nguzo 6 za imani za uisilamu ni kuamini Mitume na Vitabu vya mwenyezi Mungu. Tunachoamini sisi tu ni kwamba ipo corrupted, unapotafsiri kitabu toka lugha mama tena kimetafsiriwa na Binadamu lazima makosa yaanze.
 
[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
 
Wanakimbilia kwa makafiri. Hata hawa wa hapa nchini huwa wanakimbilia kusoma na kupeleka watoto wao katika shule nzuri za makafiri.

Kwanza mkuu uisilamu upo decentralised, hakuna mtu anaemkaririsha mtu bali tunafuata mafundisho ya Quran na Sunnah.

Pili soma uzi wote humu nambie nani anamkashifu nani? Sababu asilimia 90 za comment humu zinakashifu uisilamu ila wewe una pretend as if vice versa is true.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…