Kama ulivyosema tatizo ni taasisi, hilo linaweza kuwa sawa, na ni nani anaesababisha kama sio wasomi, lakini sio kulaumu Uislam, au Quraani hapo sio kabisa Islam is the fastest growing religion in the world, swali nyinyi kama wasomi na ndio kipa umbele serekalini mmeshika kila sehemu kwa sababu ya usomi wenu, mbona nchi inarudi nyuma? kimaadili, kimaendeleo, kimaisha na kadhalika sasa huko kusoma kwenu kunafaida gani na binaadam kama maisha yanakuwa magumu ina maana tawala zenu hazina neema wala baraka, na lawama zote ziwarudie nyinyi eti wasomi.