Masheikh wenye vyeo Serikalini msimamo wenu ni upi kuhusu Uislam?

Masheikh wenye vyeo Serikalini msimamo wenu ni upi kuhusu Uislam?

Waislam wenzako walikuwa wanabisha sana hapahapa na baadae wakatulia. Quran iliyosambaza ulaya ilichapishwa kwa mara ya kwanza kabisa na Lecturer wa zamani Muingereza miaka ya 1600's na kwakuwa hakujua kiarabu kuna maneno alichakachua na kuna Imam alishakiri hilo.

Ukiacha hilo, Quran ilipelekwa katika nchi mbalimbali na Waarabu waislam walioitwa ''Transmitters'' ninakuwekea hapa majina yao na versions tofauti za Quran walizosambaza, yaani akina Hamzah, Ibn Kadhir, Nafi na wengine.
View attachment 2107696
When we say FAKE we mean it. you and the fellow gang are busy to forge, mock-up a quraan look like but genuine Muslim expose them, nipo na msimamo mmoja tu, Quraan ni moja tu na wewe unaijua ila sema huitaki kuifata na kuitambua.

Fake.PNG
 
Wazungu wakienda uarabun wanaenda kutalii tu na kazi kisha wanarudi, na nchi nyingine ulizotaja wapo wakristo wengi sana tu so tamaduni mchanganyiko tofauti na uarabuni, tofauti na hao muslims wanakimbilia ulaya sio kikazi bali wanataka kukaa kabisa ulaya😂😂😁😁 hapo ndio tatizo
Hata wazungu wapo kibao wanaenda nchi za kiarabu kutafuta maisha inategemea na nchi na nchi.

Mfano ukienda Majiji makubwa ya Middle East Kama Dubai Kuna wazungu kibao kuanzia wafanyakazi hadi Malaya, na huwezi mkuta mwarabu WA Gulf eti kazamia ulaya.

Na hao waarabu wanaozamia Ulaya Mfano Algeria wengi ni waathirika WA Ukoloni kama vile nchi yoyote ya Africa, moja ya Sababu wao ni masikini na Ufaransa ni matajiri Sababu ni wao kunyonywa mamia ya miaka, kuuliwa, kupigwa Nuclear na mambo kibao, then leo unamkuta Mwafrika anamcheka Mwafrika mwenzie ambae Alipata matatizo Kama yeye Sababu tu ya dini yake. Then vijana Kama Nyie eti ndo Taifa LA kesho.
 
When we say FAKE we mean it. you and the fellow gang are busy to forge, mock-up a quraan look like but genuine Muslim expose them, nipo na msimamo mmoja tu, Quraan ni moja tu na wewe unaijua ila sema huitaki kuifata na kuitambua.

View attachment 2108444
Ipo Quran ya Birmingham age yake ni toka mtume yupo Hai, na haina tofauti yoyote na Quran ya Leo.
 
Kwani shule zao zinashikaga nafasi ya ngapi?

Sasahivi mama (Mwenzao) ndio ameshikilia mpini lakini watakuambia NECTA kuna mfumo kristo au mfumo katoliki.

Sio bure Kikwete alikuwa anawachamba kila siku
Nyie wenye shule Nzuri mpo wapi? Mbona Matajiri wakubwa wote ni waisilamu kasoro Mengi?

Tanzania Kuna Shule Nyingi ambazo hazitumii NECTA, haimaanishi shule inayoongoza NECTA eti ndio peak Ya elimu Tanzania, Hao top 10 WA NECTA they are nothing compare to IST ama Aga khan.
 
Dini ni ujinga uislamu ni ujinga ukristu ni ujinga kwa waafrika tuachane na mambo yanatugawa waafrika
 
Yaelekea hujui kusoma na kuelewa wewe.

Nimekuwekea Quran zilizopo duniani katika nchi mbalimbali mpaka sasa na iliyo general zaidi ni ''Hafs''

Hebu pinga kwa hoja sio kwa kujipa matumaini.

Weka hapa hiyo Quran iliyo moja duniani namimi nikuwekee utofauti hapahapa.

Karibu.
We unashindwa tofauti Sha kitabu tofauti na dialects, haya sisi waswahili tuna Dialects tofauti mfano mtu WA Mombasa Macho anaita Mato, so kitabu kikiandikwa kwenye dialects tofauti haimaanishi eti ni vitabu viwili tofauti.

Na Quran inakuwa memorized kila practicing Muslim anajua Quran, hivyo physical Book Ipo tu kusaidia wasiojua ila Most of time tuna pass Quran kwa word of mouth.

Mambo ya Utandawazi yameanza miaka ya Karibuni tu, ingekuwa Kuna Quran tofauti basi Muisilamu WA Indonesia, Muisilamu WA Albania, Muisilamu WA Tanzania wasingekuwa wanasoma Quran moja maana wapo tofauti maelfu ya kilomita ingepoteza maana.

Ila Leo mtoto WA kitanzania Hafidh nenda nae Indonesia tafuta mtoto mwengine kule waambie wasome Quran watakusomea kitu kile kile.
 
Nyie wenye shule Nzuri mpo wapi? Mbona Matajiri wakubwa wote ni waisilamu kasoro Mengi?

Tanzania Kuna Shule Nyingi ambazo hazitumii NECTA, haimaanishi shule inayoongoza NECTA eti ndio peak Ya elimu Tanzania, Hao top 10 WA NECTA they are nothing compare to IST ama Aga khan.
Hao matajiri wakubwa ni Wabongo? Unawazungumzia Wahindi wanaokuwa na mitaji yao au Mwarabu koko Bakhresa? [emoji23]

Sawa ngoja mimi niwataje akina Bill Gates, Elon Musk na Jeff Bezos matajiri wakuu duniani kwasababu ni Wakristo.
 
Hata wanaotumia British au American curriculum hapa TZ still Christians wanafanya vizuri zaidi

Kuhusu NECTA mlikuwa mkiblame sana kwa miaka mingi kuwa mnadhulumiwa, wakaanza kutumia namba instead of Names, wakawekwa viongozi wengi wa kiislam kwenye mnagement lakini bado tu mnalaumu sana na matokeo yapo hivi

Ninyi mna tatizo la kiuongozi katika taasisi zenu lakini chuki na lawama mnawaangushia wasiohusika.

Acheni hii dhambi.
 
Elon musk anaabudu kanisa gani? Bezos je? We jamaa ni mtupu sana kuwataja hao kwamba ni Wakristo. Matajiri wengi marekani ni Aethist. Na pia Hii ni out of topic tunajadili kwetu Hapa TZ.

Umemwita Bakhresa mwarabu koko sababu unajua sio 100% Mwarabu, hata Gharib (GSM) si 100% Mwarabu, Marehemu mufuruki Hakua Mwarabu,
 
Hata wanaotumia British au American curriculum hapa TZ still Christians wanafanya vizuri zaidi

Kuhusu NECTA mlikuwa mkiblame sana kwa miaka mingi kuwa mnadhulumiwa, wakaanza kutumia namba instead of Names, wakawekwa viongozi wengi wa kiislam kwenye mnagement lakini bado tu mnalaumu sana na matokeo yapo hivi

Ninyi mna tatizo la kiuongozi katika taasisi zenu lakini chuki na lawama mnawaangushia wasiohusika.

Acheni hii dhambi.
Hizo Shule Majority wanasoma Waisilamu. Mfano Aga khan kwa mashia wenyewe Dhehebu moja wanakuwa sponsored ila mtu WA Nje analipa Ada Full ndio maana wanakuwa wengi, Same kwa Shule Nyingi za Kimataifa Atleast kwa hapa Dar.

Na Hizo issue za namba sikuwa nimezaliwa nawaachia Nyie mu discuss, sipendi kuongea mambo yasiyo na Ushahidi.
 
Kama ulivyosema tatizo ni taasisi, hilo linaweza kuwa sawa, na ni nani anaesababisha kama sio wasomi, lakini sio kulaumu Uislam, au Quraani hapo sio kabisa Islam is the fastest growing religion in the world, swali nyinyi kama wasomi na ndio kipa umbele serekalini mmeshika kila sehemu kwa sababu ya usomi wenu, mbona nchi inarudi nyuma? kimaadili, kimaendeleo, kimaisha na kadhalika sasa huko kusoma kwenu kunafaida gani na binaadam kama maisha yanakuwa magumu ina maana tawala zenu hazina neema wala baraka, na lawama zote ziwarudie nyinyi eti wasomi.
 
Kiukweli ni copy anda paste ya uyahudi..ila hiyo copy and paste ilifanywa na vilaza..

Sema ili kushinikiza iaminike..ndio ikaja na malengo wa kutia hofu..na chuki dhidi ya wengine.

#MaendeleoHayanaChama

Ukweli Mchungu ni kwamba, VITABU VYOTE ndani yake vina verses zinazohubiri CHUKI!

Chukulia hii verse kwa mfano:-
2 Wakorinto 6-14 SW.png

Wakorintho anapatikana kwenye Torat au Quran?!

Hivi hiyo aya ina tofauti gani na ile inayosema "Msiwafanye Mayahudi na Wakristo marafiki zenu"? Kuna tofauti? Au chukua 2 Yohana 9-11 inayosema:-
Mtu ye yote anayevuka mpaka wa mafundisho ya Kristo, na kuyaacha, huyo hana Mungu. Na mtu anayedumu katika mafundisho ya Kristo, huyo anaye Baba na Mwana pia. Mtu ye yote akija kwenu bila kuwaletea mafundisho haya, msimkaribishe nyumbani kwenu, wala msimsalimu. Kwa maana mtu anayemsalimu anashiriki kazi zake za uovu.

Hivi hiyo aya ina tofauti gani na zile mnazosema Uislamu ni dini iliyojaa chuki?! Yaani kisa mtu haamini in Christ ndo akija kwako mlie bati?!
Hizo Aya hamuzioni kwa sababu hamsomi Bible na badala yake mnaoneshwa zile zinazohubiri upendo ambazo kwenye kila kitabu zipo!

Itoshe tu kusema kwamba ikiwa Watu wataanza kusoma hivi vitabu hakika CHUKI na KASHFA vitaisha na hatimae watu kuanza kuishi kwa upendo kwa sababu hatimae watagundua all scriptures preach the same thing... LOVE AND HATE!
 
Kama ulivyosema tatizo ni taasisi, hilo linaweza kuwa sawa, na ni nani anaesababisha kama sio wasomi, lakini sio kulaumu Uislam, au Quraani hapo sio kabisa Islam is the fastest growing religion in the world, swali nyinyi kama wasomi na ndio kipa umbele serekalini mmeshika kila sehemu kwa sababu ya usomi wenu, mbona nchi inarudi nyuma? kimaadili, kimaendeleo, kimaisha na kadhalika sasa huko kusoma kwenu kunafaida gani na binaadam kama maisha yanakuwa magumu ina maana tawala zenu hazina neema wala baraka, na lawama zote ziwarudie nyinyi eti wasomi.
Nchi inarudi nyuma kimaendeleo na kielimu? Una uhakika?

Hebu weka takwimu hapa ya Maendeleo yaliyokuwepo tangu tupate Uhuru mpaka leo.

Hebu weka takwimu ya Idadi ya Wasomi na waliopata Elimu hata kwa miaka 10 tu iliyopita na leo hii.

Usiwe unaandika Uzushi ndugu.
 
Hizo Shule Majority wanasoma Waisilamu. Mfano Aga khan kwa mashia wenyewe Dhehebu moja wanakuwa sponsored ila mtu WA Nje analipa Ada Full ndio maana wanakuwa wengi, Same kwa Shule Nyingi za Kimataifa Atleast kwa hapa Dar.

Na Hizo issue za namba sikuwa nimezaliwa nawaachia Nyie mu discuss, sipendi kuongea mambo yasiyo na Ushahidi.
Ni kweli Waislam kwasasa wapo wengi sana kwenye hizi shule za kikristo zinazofanya vizuri kulinganisha na zamani, lakini sio ''Majority''

Ila shule za kiislam nyingi hazisajili wanafunzi Wakristo.
 
Watu wadini siwapendi.

Ukizingatia waanzilishi wa dini hizi 2 ni wamoja, huwa ninakereka sana na udini. Kuwa rational basi, Bible (Agano la Kale) na Koran vinafanana. Dini zote zinamuamini Mungu.

Yesu anatambulika pande zote, Mariam, Joseph/Yusuf nk wanatambulika kote, Kanzu, tasbih na kujisitiri kupo kote. Dini hizi zina kiitikio maarufu "ameen/amina/ amen.

Ni mjinga tu ndiye ataona dini fulani ni bora kuliko nyingine
Kimsingi ni kwamba DINI sio sawa, na zaidi Mungu wa hizi dini wanatofautiana Big time.

Waislamu Mungu wao hana nafsi Tatu. Sasa huwezi sema Dini zote sawa au zinafanana.
 
Kimsingi ni kwamba DINI sio sawa, na zaidi Mungu wa hizi dini wanatofautiana Big time.

Waislamu Mungu wao hana nafsi Tatu. Sasa huwezi sema Dini zote sawa au zinafanana.
Msingi wa hoja yangu ni kwamba waanzilishi ni wamoja.

Tofauti zimeletwa na haohao waanzilishi kwa sababu za kutoelewana kwao.

Wewe unafikiri mfanano wa Roman Catholic na ule upande mwingine ni mfanano wa bahati mbaya?

Yaani, mfungo wa kwaresma, kule nako kuna mfungo. Uvaaji wa kanzu, vitabu vya dini kufanana hadi manabii, matumizi ya rozari/tasbihi, kusujudu n.k siyo mfanano wa bahati mbaya isipokuwa ni kwamba waanzilishi ni wamoja ila wametengana tu. Sasa mtu ukianza majigambo ya kidini naakuona wa akili ndogo tu unapoteza muda
 
  • Thanks
Reactions: dtj

Kimsingi hata Biblia inasema tujiepushe ma mabishano ya dini.
 
Back
Top Bottom