Pre GE2025 Mashekhe wafanya ibada na kuomba majini yasaidie Rais Samia kushinda kwenye uchaguzi ujao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mimi ni muislamu na sioni ubaya ikiwa mama Samia atafanikiwa kwenye uchaguzi ujao kuendelea kuliongoza taifa, lakini nadhani kwa huo upumbavu unaofanywa na hao wanaojiita masheikh , naona ndio wanamtia mikosi ashindwe kwenye uchaguzi hasa kwa huyo shetani anayedai kuchimja mbuzi na kufanya kisomo Cha ALBADIRI!!.
Kisomo hicho ni uchawi wa wazi na kwa ushirikina huo wanaoufanya Mimi naamini wameishamtia nuksi mama Samia kwahiyo uchaguzi wa mwaka huu ni ngumu sana kwa CCM kupata ushindi!. MIKOSI! MIKOSI! MIKOSI!.
 
ongeza akili kijana viongozi wengi wamepita waislamu kwa wakirisito na bado rushwa, umasikini, ujinga bado vina iandama Tanzania.

Kuna issue ya hawa makafiri kujiona ni bora sana kuliko wapagani, Waislam, rastafarai nk
 
Ndio kwanza tumeingia February, kufikia October tutajionea mengi
 
Maana yake kutakuwa na umwagaji mkubwa sana wa damu za Watanganyika ili kuyalisha hayo majini ya Samia. Hivi CCM mnataka nini kwa Watanganyika?
 
Aliyesema majini yamuombee Samia ni Shk.Masoud Jongo Imamu wa msikiti wa Manyema siyo Sheikh wa mkoa,hata hivyo hawa watu wanatudhalilisha Waislamu wote na kuonekana washirikina kwa sababu ya njaa zao binafsi.
Hili haliwezi kufanya waislamu wakamuwajibisha huyp sheikh jongo?? Angeweza kumpigia kampeni Samia bila kuhusisha majini na uislamu

Nategemea waislamu mtaandamana kwa hili la huyu sheikh kudhalilisha dini
 


Katiba mpya ni muhimu sana .

Rais ana mamlaka makubwa kuliko Mungu kwenye hizi nchi zinazofanana na Kongo kwa wingi wa Rasilimali .
Waarabu na wazungu wanawanunua sana watawala wa nchi za Afrika .

Katika nchi hizo marais wana pesa nyingi sana wanazogawa kwenye hizi taasisi za Dini kwa lengo la kuwapigia debe . Hapo wanaona Hija inakaribia na fungu la kuwapeleka maka lipo . Ni lazima majini yapewa nafasi ya kuongoza nchi .


Yaani wetu na akili zao wanasifika Bandari kupewa Wageni . Waafrika ni wapuuzi sana . Hapo dini imewekwa mbele utadhani ndiyo iliyowaleta Waarabu Tanzania . Waarabu wamekuja kuchukua pesa kwenye bandari na misitu na wanayama huku waliwaacha wajinga wakiwa wanakunywa chai na kusifia mizimu ya kiarabu na umaskini na huduma za afya duni kabisa .Wao wanakwenda kujenga nchi zao zenye ukame.

Siwezi kushangaa Kwamba majini ndiyo yanayoombwa badala ya Mungu Muumbaji mtenda haki . Maana kwa hakika Mwenyezi Mungu hakikutoa idhini kwa mwanamke kuwatawala wanaume au kuwa kiongozi wa wanaume na jamii kwa ujumla . Hapo Mungu hashitikishwi zaidi ya majini . Kule Dubai hakuna Mwanamke anatewatawala wanaume hata Saidia Arabia ilipotoka dini lakini huku Pesa inahalalisha haramu kuwa halali na halali kuwa haramu .

Lakini sijawahi kusikia Bakwata wakizungumza habari za haki katika uchaguzi . Wanadhani wako salama sana chini ya udhalimu wa watawala na wizi wa mali za umma .

Hata hivyo Giza haliwezi kuishinda Nuru . Haki itashinda na dhulma itabaki kwenye laana ya milele .
Samia akishinda kwa dhulma itakua ni hasara kubwa sana kwake duniani na ahera .
 
Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa anayaagiza majini yote yahakikishe Rais Samia anashinda kwenye uchaguzi wa urais mwaka huu.
Kwa ufahamu wangu najini ni viumbe visivyopokea amri za kibinafamu.. In short wamemtapeli
Hii yote sababu ni zile prado na cruiser anazohawa biMkubwa
 
@ Lucas Mwashambwa njoo useme neno
 
Nategemea waislamu mtaandamana Hawa masheikh kuhusisha uislamu na shirki
 
Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa anayaagiza majini yote yahakikishe Rais Samia anashinda kwenye uchaguzi wa urais mwaka huu.

Hatari kweli kweli...

Harufu ya damu inanukia kwa mbaaaali...
 
Sijawahi kuona mijitu mijinga kama hii mijamaa!
 
Wilbroad Slaa anasemaje kwa hili CC Lucas Mwashambwa
 
Maana yake kutakuwa na umwagaji mkubwa sana wa damu za Watanganyika ili kuyalisha hayo majini ya Samia. Hivi CCM mnataka nini kwa Watanganyika?

Hatashinda kamwe . Hii nchi Nyerere angeitawala kama Samia leo pangekuwa na vita kama Kongo . Kujilimbikizia mali . Kutumia fedha kuhonga watu ili wasifu na kumtukuza .Kuuza kila kitu kwa wageni kisha kutumia pesa za wageni kuhonga wanasiasa ili wasifie nchi kuuzwa na rushwa na matumizi makubwa ya pesa ili kushinda uchaguzi .
 
Sio dini tu wala kitabu hiko ambacho unacho kisikia ndo vinakataza.. hata maisha halisi hapa duniani yana tukataza kuongozwa na mwanamke.. ndo maana nyumban kwenu Baba yako Ndio kichwa cha familia, kwenye mahusiano yako wewe ndio uliye yaanzisha na wewe ndo utahudumia.

Ila hatuwezi kwenda tofauti na mfumo wa dunia democracy haina jinsia, na kwenye hiko kitabu unacho kisikia kime waamrisha kumtii kiongozi na kuheshimu utawala..

Kuna mengi sana haujayasikia bado endelea kusikia sikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…