Pre GE2025 Mashekhe wafanya ibada na kuomba majini yasaidie Rais Samia kushinda kwenye uchaguzi ujao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Fujo zimeshika kasi mapema sana, watu hawana hata muda wa kunawa uso.. Ni kuvaa na kusepa.
 
Nimekuelewa, lakini hili lingesemwa na mwngine pasingekalika.
Ndio kama hivyo miiona baadhi ya waislamu wanafanya mambo mabaya na maovu kama hayo msihukumu kwamba waislamu wote wako hivyo au kwamba uislamu ndio umewaelekeza kufanya hivyo au ndivyo mtume Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم alivyofindisha! Laa hasha hao ni watu waovu wanaouchafua uislamu kwa matendo yao maovu!.
 
Mapadri na wao watoke wamuombee lissu ashinde majini iwe ngoma droo
Baba mtakatifu aketiye Kitini pake Mtume Petro alishafanya maombi Kwa Rais Samia, Dr Nchimbi na Hussein Bashe walivyomtembelea Vatican 😀🌹
 
Nimeona Dr.sule ameanza na yeye kuuza mafuta kama mwamposa, pia anasema Mara nyingi muislamu kutumia majini kupata pesa sio dhambi.

Waislamu huwa hawakubali dini yao kuchezewa hivi, inakuwaje hadi Leo sheikh sule hajakemewa au kukanywa?
 
ongeza akili kijana viongozi wengi wamepita waislamu kwa wakirisito na bado rushwa, umasikini, ujinga bado vina iandama Tanzania.

Kuna issue ya hawa makafiri kujiona ni bora sana kuliko wapagani, Waislam, rastafarai nk
Tumia akili ....... hakuna kiongozi muislamu mzalendo tanzania .... ufisadi umejengwa na viongozi waislamu tz ...hata kanuni za kushikilia maiti muhimbili ni tunda la viongozi wapumbavu wa kiisiharamu...hayo mambo yameletwa awamu zao ...chunguza ninacho sema ....viongozi wakristo wamekuwa wanakuja kupambana na misingi mibovu na miovu iliyo letwa na viongozi waislamu ...nitajie mtoto yoyote wa rais asiye muislamu ambaye ametumia cheo cha baba yake au mama yake kufanya ufisadi na ufilauni hapa tanzania ...HATA ULE MSEMO WA BABA FISADI MAMA KAHABA..MTOTO ANAUZA NGADA unafiti kwa viongozi waislamu tu hapa tanzania ....mcheki riziwan ...mcheki abdul nk
 
Mwezi wa tatu ni mfungo wanataka kumpigia kampeni ili baadae wakuombe awanunulie binocular wamechoka kula iddi pili kila msimu kwa kushindwa tu kuuona mwezi.
 
Wew una msongo wa mawazo pumzika kdg kama maiti ya ndugu yako ilizuiliwa muhimbili hilo sio kosa la raisi, kuna uongozi pale hospital raisi ana majukumu zaidi ya hayo..
Watoto wa maraisi kufanya ufisadi haihusiani kabisa na dini unaye muita ridhwani huyo ni kiongoz kwa sasa sijui hzo tuhuma za kumuita fisadi wew Ndio unazifaham,

Nchii hii imekuja kuwa na nafuu kipindi cha mwinyi mzee wa ruksa probably ulikuwa bado mdogo unachezea mikojo huyu ni muislam..
 
Kumbe basi Tanzania ni nchi ya kwanza kwa uzwazwa
  • Masheikh hawajaagiza majini yachimbe dhahabu ili kuepuka kutumia wazungu;
  • Mbona majini hayatumiki kulinda mipaka ya nchi;
  • Mbona majini hawayatumii kufundisha madarani ili tuepuke ikama kupungua?
  • Mbona majini hayajatumiwa kutoa mizigo bandarini kuja bara na nchi jirani?
 
Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa anayaagiza majini yote yahakikishe Rais Samia anashinda kwenye uchaguzi wa urais mwaka huu.
Kwa ufahamu wangu najini ni viumbe visivyopokea amri za kibinafamu.. In short wamemtapeli
Jini hutumwa na binadam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…