Pre GE2025 Mashekhe wafanya ibada na kuomba majini yasaidie Rais Samia kushinda kwenye uchaguzi ujao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kabsa Mkuu! Sisi tunaomba ulinzi wa Mwenyezi Mungu! Shughuli ya Malaika Mikaeli wataisoma namba
Neno utatoa wapi ww!!! Walokole Ni tatizo kubwa kafanye kazi ww neno litakusaidia nn kufakala ww
 
Majini tena?Hakuna kitu hapo.Imani batili dhidi ya Mungu aliye hai.
 
Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa anayaagiza majini yote yahakikishe Rais Samia anashinda kwenye uchaguzi wa urais mwaka huu.
Kwa ufahamu wangu najini ni viumbe visivyopokea amri za kibinafamu.. In short wamemtapeli
Uzi ufungwe.
 
Unaambiwa majini ya CHADEMA yamechachamaa huko bahari ya Hindi
Majini ya CHAUMA yenyewe yako bize na Mpunga
 
Sasa mbona sisi tukikemea na kuamrisha mapepo mnakataa utume na unabii wetu?
 
Wewe unayeamini kuwa Majini ndo yatamchagua Kiongozi basi ndio huna akili
 
CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.

Kwa kweli litakuwa ni jambo hema maana ile ya viongozi wa CCM kujazana kwa waganga wa kienyeji wakati wa uchaguzi, wameona haitoshi. Sasa wameamua kuwatumia wachawi wanaotumia dini!! Wanatamani Taifa liongozwe na nguvu za shetani.

Lakini hakika watashindwa, watu wa Mungu wazidi kumtegemea Mungu, hayo majini yao yatawarudia na kuwadhuru wao wenyewe na familia zao.
 
Mimi huwa naishia kulaumu mfumo tu. Hii kitu ilianza kidogo kidogo za kusifia mtu hata akaitwa mungu, sasa viongozi wa dini ambao hawafungamani na siasa wanakuwa wanasiasa, kwani hakuna wakristo, waislamu , budha, na imani zingine ambao sio ccm? Vipi waislamu wa chadema?
Viongozi wa dini acheni siasa mnakosa sifa ya kuwa washauri na kuonyesha kuwa mko kimaslahi.
 
Mufti yeye si mganga by proffesional

Ova
 
Wewe unayeamini kuwa Majini ndo yatamchagua Kiongozi basi ndio huna akili

Wewe punguani usiwe unachangia ukiona wenye akili wanachangia. Hao waliosema majini yahakikishe Samia anakuwa Rais, unafahamu wanaowaongoza watu milioni ngapi? Kama mimi niliyeleta tu kauli za hao viongozi, nitakuwa sina akili, hao mamilioni wanaoongozwa na hao watu, unawaambiaje?
 
Nchi hii inatakiwa ipate amshaamsha kama wanayopata wacheza sebene huko labda akili zitakaa sawa

Iva
 
Dkt Samia hana mpinzani, atashinda kwa 98% hilo halina ubishi.
Atakaye fanya fyoko atatupiwa Jini kali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…