Pre GE2025 Mashekhe wafanya ibada na kuomba majini yasaidie Rais Samia kushinda kwenye uchaguzi ujao

Pre GE2025 Mashekhe wafanya ibada na kuomba majini yasaidie Rais Samia kushinda kwenye uchaguzi ujao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hayo majinwi ni dini ipo hiyo yamo!!?


Kizazi kijacho wa Najifunza mengi nchini
Hivi unasomaga unacho kiandika kweli maana sijawahi kuelewa njoo basi nikufunze kama ni me sitaki kama ni ke sawa
 
Je na madhehebu mengine yakija na mgombea wao nao wakatangaza aombewe nchi nzima si mtaikata nchi katikati?
 
Majini c ndo malaika walioasi
Kwahiyo tunavyosikia watu wanafuga majini maana yake wanafuga malaika?
AU tunavyosikia jini mahaba ina maana ni malaika anakuwa anashiriki ngono na binaadamu?

Nilichotaka kusema mkuu ni kwamba sheikh kataja majini(malaika waliyoasi) na kataja malaika(wasioasi) ila watu humu wameshikilia majini tu sio kushangaa kutajwa malaika.
 
Wewe punguani usiwe unachangia ukiona wenye akili wanachangia. Hao waliosema majini yahakikishe Samia anakuwa Rais, unafahamu wanaowaongoza watu milioni ngapi? Kama mimi niliyeleta tu kauli za hao viongozi, nitakuwa sina akili, hao mamilioni wanaoongozwa na hao watu, unawaambiaje?
Huna akili wewe kuja hapa na mada za kijuha!
Nakuona huna akili maana na wewe limekushughulisha hilo mpaka unaandika mada ndeeeefu kwa mambo ya kufikirikà. Kama ungekuwa timamu wewe usingeshughulishwa na habari za Majini ila inaonekana kwa ujinga wako basi mwenyewe umeamiiiiini mpaka wateseka
 
Ungekua na elimu ungejua kua msingi wa kwanza wa uislam, ni kuamini “HAKUNA APASAE KUABUDIWA KWA HAKI ISIPOKUA ALLAH NA MUHAMMAD NI MTUME WAKE”

Shahada hiyo kwa Allah inajulikana kama Tauhidi,
Tauhidi ni
1. Kujua Mungu ni mmoja
2. Ibada zote na dua kua kwake yeye na si kitu kingine
3. Sifa zote kwake yeye.

Anything else other than that ni Ushirikina.

Chuki ikizidi inaondoa akili. Pumbafu wewe
Yaan unamtukana mwenzako kwa kutojua hekaya za Allah the moon god, na pedophile wake mudy.

Huo ujinga wa allah na mudy mlio jaza kichwani mwenu bora mngejazia mambo mengine.
 
Back
Top Bottom