Pre GE2025 Mashekhe wafanya ibada na kuomba majini yasaidie Rais Samia kushinda kwenye uchaguzi ujao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hawa ni ndugu zake mswaki mbuyu
Mtag tuu mgalatia mwenzio na ameusoma vzr tuu waraka wa Papa Francis humu..eti mwnyw kaweka video mbili moja ya shekhe mkuu na nyngn ya shekhe mganga wapo wengi sanaa na hawa mashekhe wangekua wagalatia wasingetofautiana na mwamposa uzushi kauleta mwnyw na akajijibu mwnyw..
 
Hicho ndicho kichochoro wanachokimbilia wale masheikh na walimu watetezi wa mambo ya ushirikina na uchawi wanapokosa hoja ya kutetea uchawi wao hukimbilia kufananisha uchawi na mambo ya maendeleo ya sayansi na teknolojia.
Ni WAONGO SANA.
Kuagua na kupiga ramli wanasema ni sawa na X-ray na Ultrasound!
SIO KWELI!
Ushirikina na uchawi vimekuwepo kwa Karne nyingi sana tangu enzi za Nabii Nuhu عليه السلام na mitume na manabii wote walikuja kuwatahadharisha wafuasi wao waepukane na mambo ya Ushirikina kama anavyosema Allaah katika Suurat Annahli Aya ya 36 ya kwamba :
"{ وَلَقَدۡ بَعَثۡنَا فِي كُلِّ أُمَّةٖ رَّسُولًا أَنِ ٱعۡبُدُواْ ٱللَّهَ وَٱجۡتَنِبُواْ ٱلطَّٰغُوتَۖ فَمِنۡهُم مَّنۡ هَدَى ٱللَّهُ وَمِنۡهُم مَّنۡ حَقَّتۡ عَلَيۡهِ ٱلضَّلَٰلَةُۚ فَسِيرُواْ فِي ٱلۡأَرۡضِ فَٱنظُرُواْ كَيۡفَ كَانَ عَٰقِبَةُ ٱلۡمُكَذِّبِينَ }
Na kwa hakika kwa kila umma tuliutumia Mtume kwamba: MUABUDUNI ALLAAH, NA MUEPUKENI SHETANI. Basi kati yao wapo alio waongoa ALLAAH. Na kati yao wapo ambao ulio wathibitikia upotovu. Basi tembeeni katika ardhi, muangalie ulikuwaje mwisho wa wanao kakadhibisha".
Na kuhusu wanaadamu kutaka msaada kwa majini , majini wenyewe baada ya kusilimu walibainisha kwamba walikuwa wakiwasaidia baadhi ya watu waliotaka msaada na wao wakawaamrisha kufanya madhambi ikiwa ni sharti la kupata msaada waitakao hao watu kama walivyosema majini katika suuratul jinni Aya ya 6 kwamba :
"{ وَأَنَّهُۥ كَانَ رِجَالٞ مِّنَ ٱلۡإِنسِ يَعُوذُونَ بِرِجَالٖ مِّنَ ٱلۡجِنِّ فَزَادُوهُمۡ رَهَقٗا }
Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga ( kutaka hifadhi na msaada )
kwa wanaume wa kijini; KWA HIVYO WAKAWAZIDISHIA MADHAMBI."
Mtume صلى الله عليه وآله وسلم
Kuna madhambi saba ambayo kayaita kuwa ni yenye kuangamiza na na dhambi ya kwanza kataja ni ushirikina na dhambi ya pili ni uchawi kama ilivyo katika hadithi aliyopokea Imamu Albukhary kutoka kwa swahaba Abuu Huraira kwamba mtume صلى الله عليه وآله وسلم
kasema: اجْتَنِبُوا السَّبْعَ الْمُوبِقَاتِ ". قَالُوا : يَا رَسُولَ اللَّهِ، وَمَا هُنَّ ؟ قَالَ : " الشِّرْكُ بِاللَّهِ، وَالسِّحْرُ، وَقَتْلُ النَّفْسِ الَّتِي حَرَّمَ اللَّهُ إِلَّا بِالْحَقِّ، وَأَكْلُ الرِّبَا، وَأَكْلُ مَالِ الْيَتِيمِ، وَالتَّوَلِّي يَوْمَ الزَّحْفِ، وَقَذْفُ الْمُحْصَنَاتِ الْمُؤْمِنَاتِ الْغَافِلَاتِ ".
Jiepusheni na madhambi saba yenye kuangamiza .
Wakasema: Ee mjumbe wa Allaah ni yepi hayo ?
Aksema:
" 1️⃣ kumshirikisha Allaah, na 2️⃣ Uchawi, na 3️⃣ Kuiua nafsi ( kuua mtu ) ambayo Allaah ameharamisha kuiua isipokuwa kwa haki , na 4️⃣ Kula riba , na 5️⃣ Kula mali ya yatima , na 6️⃣ Kukimbia siku ya vita ( kuwasaliti waislamu kwa kukimbia wakati wa mapambano na makafiri ) , na 7️⃣ Kuwasingizia ( dhambi ya uzinifu ) wanawake wenye kujitunza, waislamu, wasiofanya madhambi ya zinaa. Kwahiyo kufananisha uchawi na mambo ya sayansi ya kisiasa ni kutaka kuupotosha uislamu na kuwatoa waislamu kwenye njia ya sawa na kuwapeleka kwenye ushirikina.
Ushirikina na uchawi umekuwepo na umekemewa kwa maelfu ya miaka iliyopita kabla ya kudhihiri maendeleo ya sayansi ambayo imekuja ndani ya miaka 300 tu iliyopita. Na Lau kama mawasiliano kwa njia ya sayansi na teknolojia ingekuwa sawa na uchawi basi wanachuoni wanaotambulika duniani ( achana na hawa wahuni wa hapa TZ wanaohalalisha uchawi ) wangekuwa walishaandika vitabu kuwakataza waislamu kutumia mawasiliano ya sayansi na teknolojia .
Nikupe mfano wa Dream incubation, ambapo ni njia ya kuweza kupata muongozo au suluhisho la jambo kupitia ndoto. Kwenye uislamu hutambulika kama Istikhara ambapo utaratibu wake ni sala na dua.

Sasa dream incubation wengine utaratibu wao hutumia njia ndefu tena za shirki kama kuomba kupitia miungu ili kupata muongozo wa mambo yao kupitia ndoto, lakini zipo taratibu nyepesi tu za kupata muongozo wa jambo kupitia ndoto kwa njia tu ya kuuliza swali unalota kupata muongozo kabla ya kulala na ukapata ndoto yenye huo muongozo.

Ndio maana nasema tatizo lipo kwenye njia tu zinazotumika, mambo mengine ni shetani tu kutaka kuwapoteza watu ndio huwapitisha kwenye njia za ushirikina.
 
Kwa taarifa yako kwa maneno uliyoandika hapa Dua na muongozo wa istikhara aliyofundisha mtume huijui ila umechanganya hadithi za pauka pakawa na Dua ya istikhara.
Ile Dua ukijua maana yake tu utajua kuwa swala la kuoteshwa halipo.
Kanunue kitabu cha Dua maarufu
حصن المسلم ( Hisnul Muslim/ Kinga ya muislamu ) kipo ambacho kimetafsiriwa kiswahili .
Umishakipata tafuta Dua ya istikhaarah soma ile tafsiri ya kiswahili halafu tuone hayo mambo ya kuoteshwa nani kayafundisha.
 
Mtag tuu mgalatia mwenzio na ameusoma vzr tuu waraka wa Papa Francis humu..eti mwnyw kaweka video mbili moja ya shekhe mkuu na nyngn ya shekhe mganga wapo wengi sanaa na hawa mashekhe wangekua wagalatia wasingetofautiana na mwamposa uzushi kauleta mwnyw na akajijibu mwnyw..
We Bin Mwamedi namtagije Mgalatia mwenzangu wakati hayo mambo ya majini yanawahusu ninyi?
 
Mashekhe waliokutana chini ya Shekhe Mkuu Mufti Abbakari, kwenye msikiti wa kwa Mtoro, jijini Dar es Salaam wamefanya ibada maalum ya kumwombea Rais Samia ashinde kwenye uchaguzi mkuu ujao.

Shekhe mkuu akiwa kwenye ibada hiyo ameagiza kuwa mashekhe wa mikoa yote, wilaya hadi kwenye kata, wafanye ibada ya kumwombea Samia ashinde kwenye uchaguzi ujao.

Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa anayaagiza majini yote yahakikishe Rais Samia anashinda kwenye uchaguzi wa urais mwaka huu.

SWALI:
Tukiyaamini maneno ya mashekhe hawa, ina maana uchaguzi wa safari hii utakuwa ni ushindani kati ya wanadamu na majini? Kama majini yakishinda, huyu Rais atakuwa wa wanadamu wa Tanzania au atakuwa Rais wa majini?

Wananchi wanapomchagua kiongozi wao, matarajio yao ni kuwa huyo wanayemchagua atawaongoza katika jitihada zao za kuyafikia maendeleo, sasa kama majini yatamchagua mgombea kuwa Rais, hayo majini yanatarajia kunufaika vipi na huyo yaliyempigania?

Wataalam wa majini tunaomba litoleeni ufafanuzi hili la mashekhe kuomba majini yamsaidie Rais Samia, inamaanisha nini katika tafsiri pana?
View attachment 3222655
View attachment 3222658

Abou Shaymaa
Njoo huku uone majini yanavyowasaidia waislam kufanikisha mambo.
Pia fafanua, maana ninyi katika imani yenu kuna majini mazuri. Wakati sisi wengine ukisema jini maana yake pepo mchafu. Malaika muovu, aliyemfuata shetani kumuasi Mungu
 
Nikupe mfano wa Dream incubation, ambapo ni njia ya kuweza kupata muongozo au suluhisho la jambo kupitia ndoto. Kwenye uislamu hutambulika kama Istikhara ambapo utaratibu wake ni sala na dua.

Sasa dream incubation wengine utaratibu wao hutumia njia ndefu tena za shirki kama kuomba kupitia miungu ili kupata muongozo wa mambo yao kupitia ndoto, lakini zipo taratibu nyepesi tu za kupata muongozo wa jambo kupitia ndoto kwa njia tu ya kuuliza swali unalota kupata muongozo kabla ya kulala na ukapata ndoto yenye huo muongozo.

Ndio maana nasema tatizo lipo kwenye njia tu zinazotumika, mambo mengine ni shetani tu kutaka kuwapoteza watu ndio huwapitisha kwenye njia za ushirikina.
Kwenye uislamu hakuna mahala tulipofundishwa kutegemea ndoto katika kupata miongozo ya mambo tunayotaka kuyafanya.
Waweza kuwa na nia ya kufanya jambo jema shetani akakuletea ndoto inayoonyesha kuwa ni jambo baya au unataka kufanya jambo baya shetani akakuonyesha ni jambo jema! Alaa kulli Haal ! Hakuna mafundisho katika uislamu ya kutaka mtu ndoto zimuelekeze mambo ya kufanya Wala Dua na swala ya istikhaarah haisemi hivyo!
 
Kwa taarifa yako kwa maneno uliyoandika hapa Dua na muongozo wa istikhara aliyofundisha mtume huijui ila umechanganya hadithi za pauka pakawa na Dua ya istikhara.
Ile Dua ukijua maana yake tu utajua kuwa swala la kuoteshwa halipo.
Kanunue kitabu cha Dua maarufu
حصن المسلم ( Hisnul Muslim/ Kinga ya muislamu ) kipo ambacho kimetafsiriwa kiswahili .
Umishakipata tafuta Dua ya istikhaarah soma ile tafsiri ya kiswahili halafu tuone hayo mambo ya kuoteshwa nani kayafundisha.
Point ni kupata muongozo hivyo kuoteshwa ni moja ya njia ya kupata huo muongozo na si kwamba ni lazima upate huo muongozo kwenye ndoto.
 
Kwenye uislamu hakuna mahala tulipofundishwa kutegemea ndoto katika kupata miongozo ya mambo tunayotaka kuyafanya.
Waweza kuwa na nia ya kufanya jambo jema shetani akakuletea ndoto inayoonyesha kuwa ni jambo baya au unataka kufanya jambo baya shetani akakuonyesha ni jambo jema! Alaa kulli Haal ! Hakuna mafundisho katika uislamu ya kutaka mtu ndoto zimuelekeze mambo ya kufanya Wala Dua na swala ya istikhaarah haisemi hivyo!
Hakuna niliposema waislamu kutegemea ndoto kupata miongozo.
 
Point ni kupata muongozo hivyo kuoteshwa ni moja ya njia ya kupata huo muongozo na si kwamba ni lazima upate huo muongozo kwenye ndoto.
Hiyo njia ya kuoteshwa ili kupata muongozo nani kaifundisha ?! Je wewe dua ya istikhaarah umeihifadhi kweli au umeshawahi kuitumia kulingana na maelekezo ya mtume صلى الله عليه وآله وسلم ؟
 
Mashekhe waliokutana chini ya Shekhe Mkuu Mufti Abbakari, kwenye msikiti wa kwa Mtoro, jijini Dar es Salaam wamefanya ibada maalum ya kumwombea Rais Samia ashinde kwenye uchaguzi mkuu ujao.

Shekhe mkuu akiwa kwenye ibada hiyo ameagiza kuwa mashekhe wa mikoa yote, wilaya hadi kwenye kata, wafanye ibada ya kumwombea Samia ashinde kwenye uchaguzi ujao.

Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa anayaagiza majini yote yahakikishe Rais Samia anashinda kwenye uchaguzi wa urais mwaka huu.

SWALI:
Tukiyaamini maneno ya mashekhe hawa, ina maana uchaguzi wa safari hii utakuwa ni ushindani kati ya wanadamu na majini? Kama majini yakishinda, huyu Rais atakuwa wa wanadamu wa Tanzania au atakuwa Rais wa majini?

Wananchi wanapomchagua kiongozi wao, matarajio yao ni kuwa huyo wanayemchagua atawaongoza katika jitihada zao za kuyafikia maendeleo, sasa kama majini yatamchagua mgombea kuwa Rais, hayo majini yanatarajia kunufaika vipi na huyo yaliyempigania?

Wataalam wa majini tunaomba litoleeni ufafanuzi hili la mashekhe kuomba majini yamsaidie Rais Samia, inamaanisha nini katika tafsiri pana?
View attachment 3222655
View attachment 3222658
mashetnai yapigweeeeeeeeeeeeeee! majini yapigweeeeeeeeeee kwa Jina la Yesu. dini gani hiyo wanaomba pamoja na majini, ati wanataka majini yakamuombee samia.
 
Hii nchi sasa imefika kilele chake cha vituko. Muda utazungumza hakika bila shaka.
 
We Bin Mwamedi namtagije Mgalatia mwenzangu wakati hayo mambo ya majini yanawahusu ninyi?
Sisi majini tuyatambua ni viumbe kama viumbe wengine...weeh picha ya Brian Deacon si unaitambua kama ya Yesu au sivyo?
 
Hiyo njia ya kuoteshwa ili kupata muongozo nani kaifundisha ?! Je wewe dua ya istikhaarah umeihifadhi kweli au umeshawahi kuitumia kulingana na maelekezo ya mtume صلى الله عليه وآله وسلم ؟
Waja wema walikuwa wakifanya istikhara kabla ya kulala.
 
mashetnai yapigweeeeeeeeeeeeeee! majini yapigweeeeeeeeeee kwa Jina la Yesu. dini gani hiyo wanaomba pamoja na majini, ati wanataka majini yakamuombee samia.
Aliyekuaminisha majini ndio malaika waliyoasi ndio kakosea, sidhani kama kuna maandiko yenye kueleza kuwa majini ni malaika waliyoasi.
 
Kwa aina ya siasa na watu wa nchi hii, tusingeweza kumtoa mkoloni hata kama mda wake ungekuwa umefika. Chawacratic society.
 
Haya MAJINI huwa yanakimbia vita, Kule HAMA na HezBullah wanapigwa hata hayazuii mabomu, binafsi naamini MAJINI hayapo ni story za kutishana tu.

Majini hayaleti pesa BAKWATA mpaka tunawachangia kujenga misikiti?
 
Mashekhe waliokutana chini ya Shekhe Mkuu Mufti Abbakari, kwenye msikiti wa kwa Mtoro, jijini Dar es Salaam wamefanya ibada maalum ya kumwombea Rais Samia ashinde kwenye uchaguzi mkuu ujao.

Shekhe mkuu akiwa kwenye ibada hiyo ameagiza kuwa mashekhe wa mikoa yote, wilaya hadi kwenye kata, wafanye ibada ya kumwombea Samia ashinde kwenye uchaguzi ujao.

Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa anayaagiza majini yote yahakikishe Rais Samia anashinda kwenye uchaguzi wa urais mwaka huu.

SWALI:
Tukiyaamini maneno ya mashekhe hawa, ina maana uchaguzi wa safari hii utakuwa ni ushindani kati ya wanadamu na majini? Kama majini yakishinda, huyu Rais atakuwa wa wanadamu wa Tanzania au atakuwa Rais wa majini?

Wananchi wanapomchagua kiongozi wao, matarajio yao ni kuwa huyo wanayemchagua atawaongoza katika jitihada zao za kuyafikia maendeleo, sasa kama majini yatamchagua mgombea kuwa Rais, hayo majini yanatarajia kunufaika vipi na huyo yaliyempigania?

Wataalam wa majini tunaomba litoleeni ufafanuzi hili la mashekhe kuomba majini yamsaidie Rais Samia, inamaanisha nini katika tafsiri pana?
View attachment 3222655
View attachment 3222658
Jambo zuri kumuombea kiongozi.
 
Waja wema walikuwa wakifanya istikhara kabla ya kulala.
Hao ni watu waliofahamu vibaya maana ya istikhara!
Istikhara aliyofundisha mtume صلى الله عليه وآله وسلم Haina muda maalumu.
Unaweza kuifanya asubuhi , mchana, jioni au usiku .!
Muda wowote, huyo anayesema wakati wa kulala saa nyingine ni katika hao wanaotegemea kuoteshwa! Hadithi ya istikhara nitaileta hapa muda si mrefu na kutoa maelezo yake inshaa Allaah.
 
Aliyekuaminisha majini ndio malaika waliyoasi ndio kakosea, sidhani kama kuna maandiko yenye kueleza kuwa majini ni malaika waliyoasi.
kwa hiyo majini kwako wewe ni masafi, matakatifu, ndio maana mnaswali nayo. ajabu sana. sasa mbona tukitamka JIna la Yesu yanakimbia hadi yanajisaidia?
 
Back
Top Bottom