Mashekhe wote kwa umoja wenu: Ijumaa ijayo khutba iwe ni October TUNATIKI ✅

Mashekhe wote kwa umoja wenu: Ijumaa ijayo khutba iwe ni October TUNATIKI ✅

Wenzenu wa upande ule kila siku wanaleta mmoja kuipinga serikali na kulazimisha matakwa yao, na kila jumapili wanafanya na kusema kubwa zaidi,

Sasa na nyie kupitia taasisi zenu zooote unganeni mlete mshindo mmoja kuanzia Ijumaa ijayo,

Kila mmoja atetee upande wake kwa nguvu zote
Mkizubaa tu mjue mtakuwa watumwa na wanyonge katika inchi mliyoipigania wenyewe
Ww bwege sana yaani mashehe unawachukulia kindezi sana si ndio mpuuzi mmoja ww unaleta mada za kijinga hapa yaani shehe atekwe singida na Zanzibar na wasiojulikana Alafu mashehe waikubali CCM,be serious bwana.
 
Bwege mamamako mpuuzi mamamko, huwezi kujibu hoja pita hivi, mimi sijatukana mtu kwani unitusi?
 
Bwege mamamako mpuuzi mamamko, huwezi kujibu hoja pita hivi, mimi sijatukana mtu kwani unitusi?
Nilitaka kujua kama na ww huwa unakasirika,basi ujue ndio hivyo ndugu za waliotekwa na kuuawa wanaumia sana kwa kupotelewa na ndugu zao.ukiguswa bro lzm upanik.
 
Yame anza kuwashinda sasa naona mme amua kuingia misikitini.
Elewa hii nchi ni yetu sote, wenye dini na wasio na dini, waislam na Wakristo.. Subirini dawa iwa ingie.. No Reforms no Election ndio habari ya mjini
Kuna na
October TUNATIKI ✅✅😇✅
Usijisahaulishe,

Eti huna dini na huku unatetea ukristo,
Safari hii ni roho kwa roho
Mlichezea na kudanganya wazee, vijana wa sasa wameshtuka bwashee
 
Bora ungekaa kimya kuficha upumbavu wako!
Sasa mpumbavu nani?
Sio nyie ambao hamvumilii kusemwa? Yaani mnataka mseme nyie tu, mkisemwa kidogo mnahamaki kama vile hii ni inchi yenu? Kuna shehe aliesema zaidi ya maaskofu wenu ana mapadederi?
Sasa kuwaamsha mashehe nao waseme limewaumiza?

Ok bado mpaka mseme, bado hamjasema

October TUNATIKI ✅✅✅✅✅
 
Hiyo CHADEMA, inashindanishwa na serikali kweli?
Yaani CHADEMA iwage inateka na kuua,serikali yenye vyombo vyote vya ulonzi na usalama isiwachukulie hatua?
Basi serikali mnaidharau sana.
Wasichanganye tu ugali na mboga.
 
Kwani wewe unadhani hii vita ni ya kidini ? Wametekwa na kuuwawa ma shekhe wangapi ? Mbona unatumia akili za ki makalio.
 
Wenzenu wa upande ule kila siku wanaleta mmoja kuipinga serikali na kulazimisha matakwa yao, na kila jumapili wanafanya na kusema kubwa zaidi,

Sasa na nyie kupitia taasisi zenu zooote unganeni mlete mshindo mmoja kuanzia Ijumaa ijayo,

Kila mmoja atetee upande wake kwa nguvu zote
Mkizubaa tu mjue mtakuwa watumwa na wanyonge katika inchi mliyoipigania wenyewe
Thubutuu!!! Tukialikwa tupate pilau soda na ndizi mbivu tu hayo ya October hayatuhusu!!
 
Back
Top Bottom