mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,490
- 2,986
Wenzenu wa upande ule kila siku wanaleta mmoja kuipinga serikali na kulazimisha matakwa yao, na kila jumapili wanafanya na kusema kubwa zaidi,
Sasa na nyie kupitia taasisi zenu zooote unganeni mlete mshindo mmoja kuanzia Ijumaa ijayo,
Kila mmoja atetee upande wake kwa nguvu zote
Mkizubaa tu mjue mtakuwa watumwa na wanyonge katika inchi mliyoipigania wenyewe