Hakuna huo upuuzi. Ondoa hayo mashudu kichwani kwako. Mimi Mama yangu ni muislam na nai support Chadema.Hapa ni ukristo na uislamu bwashee
Chadema wanatetea ukristoKama mna ushahidi kwa nini hamuwakamati na kuwashtaki? Dola ni ya nani?
Acha uzwazwa. Kapambanie CCM wamuachie Sheikh wenu wa Singida akiwa hai.
Acha kuandika mashudu humu kwa ujinga wako wa kidini. CHADEMA wanapambania wewe na uzao wako muwe na maisha .mazuri.
Chadema ni ukristo hilo halina shaka,Hakuna huo upuuzi. Ondoa hayo mashudu kichwani kwako. Mimi Mama yangu ni muislam na nai support Chadema.
Chadema haina dini. Inapambania Watanzania wote.
Wametetea ukristo wapi na lini?Chadema wanatetea ukristo
Kama ccm haikuleta maisha mazuri na amani na haki, basi hakuna chama chechote kitaleta hayo
NEVER
Masheikh wangapi wako na Chadema?Chadema ni ukristo hilo halina shaka,
Tunaona makanisa na wasimamizi wa makanisa mpaka inje ya inchi wanavyomshukia na kumtusi mama Samia kisa tu ni muislam
Sio ni chui tu huvaa ngozi ya kondoo?Wametetea ukristo wapi na lini?
Jana siku kuu ya Eid Viongozi wa Chadema wameenda kula sikukuu katika kituo cha Watoto yatima cha Dodoma kinachoendeshwa na Waislam.
Hizo propaganda za Udini ni CCM wanajaribu kuwaingizia ili walete sentiments za udini.
Ondoa kwenye hilo giza.
Hilo la ukristo na uislamu ni la kwako sheikh, tena ni jipya, na la hovyo kabisa, wewe ndiye mhaini sasa.Hapa ni ukristo na uislamu bwashee
Na hapa yanakuja, yaani sio kwa mwamko wa makanisa yanavyomtukana mama kwa kuwa tu ni muislamUdini umefanya India na Pakistan kuwa kwenye state of war kwa karibu miaka 80 sasa.
Ni makanisa yalianza, kama ni uhaini yafungwe yoteHilo la ukristo na uislamu ni la kwako sheikh, tena ni jipya, na la hovyo kabisa, wewe ndiye mhaini sasa.
Usisahau kuwakumbusha kuna mwenzao Singida kachukuliwa nae wamsemee hawako salama piaWenzenu wa upande ule kila siku wanaleta mmoja kuipinga serikali na kulazimisha matakwa yao, na kila jumapili wanafanya na kusema kubwa zaidi,
Sasa na nyie kupitia taasisi zenu zooote unganeni mlete mshindo mmoja kuanzia Ijumaa ijayo,
Kila mmoja atetee upande wake kwa nguvu zote
Mkizubaa tu mjue mtakuwa watumwa na wanyonge katika inchi mliyoipigania wenyewe
Acha ujinga , upumbavu huu mpelekee Shehe Jongo wa BAKWATAWenzenu wa upande ule kila siku wanaleta mmoja kuipinga serikali na kulazimisha matakwa yao, na kila jumapili wanafanya na kusema kubwa zaidi,
Sasa na nyie kupitia taasisi zenu zooote unganeni mlete mshindo mmoja kuanzia Ijumaa ijayo,
Kila mmoja atetee upande wake kwa nguvu zote
Mkizubaa tu mjue mtakuwa watumwa na wanyonge katika inchi mliyoipigania wenyewe
Kuna aliyeuliwa zenji, nyie kama makanisa mumesema?Usisahau kuwakumbusha kuna mwenzao Singida kachukuliwa nae wamsemee hawako salama pia
No reform No Election
Huu ni ukweli na utaamza kusemwa kuanzia ijumaa ijayo kila msikitiAcha ujinga , upumbavu huu mpelekee Shehe Jongo wa BAKWATA
Mh. samahani sana, ningependa kufahamu una umri gani?Na hapa yanakuja, yaani sio kwa mwamko wa makanisa yanavyomtukana mama kwa kuwa tu ni muislam
Kisasi kitaendelea hata wakati wa mkiristo kutawala hapa
Miaka 59Mh. samahani sana, ningependa kufahamu una umri gani?
Makanisa kama Katoliki na Kakobe yalimshambulia hata JPM.Na hapa yanakuja, yaani sio kwa mwamko wa makanisa yanavyomtukana mama kwa kuwa tu ni muislam
Kisasi kitaendelea hata wakati wa mkiristo kutawala hapa