mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,490
- 2,986
- Thread starter
- #41
Ilikua zuga tu, subutu kwa mjomba kila upande uliufyataMakanisa kama Katoliki na Kakobe yalimshambulia hata JPM.
Chezea magu wewe
Yule ndio alikuwa kiboko yenu
Ilikua zuga tu, subutu kwa mjomba kila upande uliufyataMakanisa kama Katoliki na Kakobe yalimshambulia hata JPM.
Asante sana,. na elimu yako?Miaka 59
Hebu nisaidieni nielewe na mimi; wapi Wakristo wamemtumu rais kwasababu ya dini yake? Hivi kuzungumzia mauaji, utekaji ni kuusema vibaya uislamu? Guys, uislamu unaruhusu haya mambo kweli? Usikute hata uislamu wenyewe hamuuelewi, mnajisemea tuNa hapa yanakuja, yaani sio kwa mwamko wa makanisa yanavyomtukana mama kwa kuwa tu ni muislam
Kisasi kitaendelea hata wakati wa mkiristo kutawala hapa
DegreeAsante sana,. na elimu yako?
PUMBAVUWenzenu wa upande ule kila siku wanaleta mmoja kuipinga serikali na kulazimisha matakwa yao, na kila jumapili wanafanya na kusema kubwa zaidi,
Sasa na nyie kupitia taasisi zenu zooote unganeni mlete mshindo mmoja kuanzia Ijumaa ijayo,
Kila mmoja atetee upande wake kwa nguvu zote
Mkizubaa tu mjue mtakuwa watumwa na wanyonge katika inchi mliyoipigania wenyewe
Fani gani, kutoka Chuo kipi?Degree
Unataka kuniteka? Manake chadema ndio zenu hizo, wa kwanza kujua kila tukioFani gani, kutoka Chuo kipi?
Sorry siwezi kukufunulia zaidi ya hapoFani gani, kutoka Chuo kipi?
Kama chadema mmeshindwa na hiyo no reforms no election, tulieni. Msitake kuingiza wasiohusika kwenye matatizo yenu.Wenzenu wa upande ule kila siku wanaleta mmoja kuipinga serikali na kulazimisha matakwa yao, na kila jumapili wanafanya na kusema kubwa zaidi,
Sasa na nyie kupitia taasisi zenu zooote unganeni mlete mshindo mmoja kuanzia Ijumaa ijayo,
Kila mmoja atetee upande wake kwa nguvu zote
Mkizubaa tu mjue mtakuwa watumwa na wanyonge katika inchi mliyoipigania wenyewe
#No reforms -No election#Wenzenu wa upande ule kila siku wanaleta mmoja kuipinga serikali na kulazimisha matakwa yao, na kila jumapili wanafanya na kusema kubwa zaidi,
Sasa na nyie kupitia taasisi zenu zooote unganeni mlete mshindo mmoja kuanzia Ijumaa ijayo,
Kila mmoja atetee upande wake kwa nguvu zote
Mkizubaa tu mjue mtakuwa watumwa na wanyonge katika inchi mliyoipigania wenyewe
October TUNATIKI ✅✅✅✅✅#No reforms -No election#
#Free Tundu Lissu #
Ni amri umetoa au ushauri?Wenzenu wa upande ule kila siku wanaleta mmoja kuipinga serikali na kulazimisha matakwa yao, na kila jumapili wanafanya na kusema kubwa zaidi,
Sasa na nyie kupitia taasisi zenu zooote unganeni mlete mshindo mmoja kuanzia Ijumaa ijayo,
Kila mmoja atetee upande wake kwa nguvu zote
Mkizubaa tu mjue mtakuwa watumwa na wanyonge katika inchi mliyoipigania wenyewe
Vita mnayo itafuta hamuiwezi wajemeni kuna mmoja atatema ndoano sio mudaWenzenu wa upande ule kila siku wanaleta mmoja kuipinga serikali na kulazimisha matakwa yao, na kila jumapili wanafanya na kusema kubwa zaidi,
Sasa na nyie kupitia taasisi zenu zooote unganeni mlete mshindo mmoja kuanzia Ijumaa ijayo,
Kila mmoja atetee upande wake kwa nguvu zote
Mkizubaa tu mjue mtakuwa watumwa na wanyonge katika inchi mliyoipigania wenyewe
Siku ya Ijumaa utapata jibu kutoka misikitiniNi amri umetoa au ushauri?
Waende tu wakatiki, lakini mioyoni mwao watakuwa wanajua fika kuwa wanachokifanya ni ubatili.Wenzenu wa upande ule kila siku wanaleta mmoja kuipinga serikali na kulazimisha matakwa yao, na kila jumapili wanafanya na kusema kubwa zaidi,
Sasa na nyie kupitia taasisi zenu zooote unganeni mlete mshindo mmoja kuanzia Ijumaa ijayo,
Kila mmoja atetee upande wake kwa nguvu zote
Mkizubaa tu mjue mtakuwa watumwa na wanyonge katika inchi mliyoipigania wenyewe
Mshindi na atawale sasaVita mnayo itafuta hamuiwezi wajemeni kuna mmoja atatema ndoano sio muda
No reforms no electionWenzenu wa upande ule kila siku wanaleta mmoja kuipinga serikali na kulazimisha matakwa yao, na kila jumapili wanafanya na kusema kubwa zaidi,