Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,629
- 13,551
Wewe kuwa na akili, kama huna vya kuandika tuliaWenzenu wa upande ule kila siku wanaleta mmoja kuipinga serikali na kulazimisha matakwa yao, na kila jumapili wanafanya na kusema kubwa zaidi,
Sasa na nyie kupitia taasisi zenu zooote unganeni mlete mshindo mmoja kuanzia Ijumaa ijayo,
Kila mmoja atetee upande wake kwa nguvu zote
Mkizubaa tu mjue mtakuwa watumwa na wanyonge katika inchi mliyoipigania wenyewe
Wakifanya hivyo watastahili kufungiwa misikiti kwa juwa watakuwa wamechanganya dini na siasa.Wenzenu wa upande ule kila siku wanaleta mmoja kuipinga serikali na kulazimisha matakwa yao, na kila jumapili wanafanya na kusema kubwa zaidi,
Sasa na nyie kupitia taasisi zenu zooote unganeni mlete mshindo mmoja kuanzia Ijumaa ijayo,
Kila mmoja atetee upande wake kwa nguvu zote
Mkizubaa tu mjue mtakuwa watumwa na wanyonge katika inchi mliyoipigania wenyewe
Hivi unataka waTanzania wakueleweje, mkuu wa 'Mahindi Mjini'?Wenzenu wa upande ule kila siku wanaleta mmoja kuipinga serikali na kulazimisha matakwa yao, na kila jumapili wanafanya na kusema kubwa zaidi,
Sasa na nyie kupitia taasisi zenu zooote unganeni mlete mshindo mmoja kuanzia Ijumaa ijayo,
Kila mmoja atetee upande wake kwa nguvu zote
Mkizubaa tu mjue mtakuwa watumwa na wanyonge katika inchi mliyoipigania wenyewe
Kila mmoja atetee upande wake kwa nguvu zote
Mkizubaa tu mjue mtakuwa watumwa na wanyonge katika inchi mliyoipigania wenyewe
Pakishaharibika au kuharibiwa kama mfanyavyo unafikiri ni rahisi kupatengeneza tena?Hivi unataka waTanzania wakueleweje, mkuu wa 'Mahindi Mjini'?
Kwamba CCM ni chama kinachoungwa mkono na Masheikh na waumini wao wote?
Kwamba CCM ni chama cha DINI?
Na hao wanachama wenzenu wengine ambao siyo wa dini hiyo, wafanye nini; waondoke CCM?
Na iwe hivuo lakini heahima na usawa upatikaneWakifanya hivyo watastahili kufungiwa misikiti kwa juwa watakuwa wamechanganya dini na siasa.
Sasa na nyinyi mmezidi ulegevu shehe wenu kauawa mnataka wakristo ndio wawasemee?
Udikteta wote ni aina moja, yaani unipangie kwa kuwa tu huvipendi?Wewe kuwa na akili, kama huna vya kuandika tulia
Humu watu wapo attention kutafuta kuukosoa uislamu, hata sehemu ya kusifia wanakosoa
Halafu wewe na upumbavu wako unawapa hoja ili watukane zaidi?
Hayo matakataka ya BAKWATA na UCHAWA usiyanasibishe na usheikh au uislamu
October TUNATIKI ✅✅✅✅✅No reform no election
Ole wake Mtanzania atakaye panga mstari kupiga kura
Mimi simo mkuu katika wa kuwasemea maana me sina dini,ila mtoa uzi analalamika kuwa shehe kauawa alafu mapadre hawasemi chochoteLini tumetaka nyinyi mtusemee?
Ipo piaTaasisi ndio zitapiga kura? Agenda ya kitaifa kwa sasa ni No Reforms no election
Kwa style hii, ccm itatawala mpaka iseme basi yenyewe
Wenzenu wa upande ule kila siku wanaleta mmoja kuipinga serikali na kulazimisha matakwa yao, na kila jumapili wanafanya na kusema kubwa zaidi,
Sasa na nyie kupitia taasisi zenu zooote unganeni mlete mshindo mmoja kuanzia Ijumaa ijayo,
Kila mmoja atetee upande wake kwa nguvu zote
Mkizubaa tu mjue mtakuwa watumwa na wanyonge katika inchi mliyoipigania wenyewe
Kuna wenzako wanasema eti wanabalance?![]()
Jeshi la Polisi lakanusha kumshikilia Sheikh Zuberi Nkokoo Mkoani Singida
Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida lakanusha taarifa zinazozambaa kuwa limemkamata na kumshikilia Shekhe Zuberi Nkokoo (53) mwalimu wa dini ya Kiislam kutoka Taasisi ya Islamic Foundation ambaye aliripotiwa kupotea Juni 02, 2025 majira ya saa 5:30 usiku akiwa karibu na Sheli ya Lake Oil iliyopo...www.jamiiforums.com
Ukiona manyoya,ujue kaliwa
Kifo ni kigo tu
October TUNATIKI ✅✅✅✅✅No Reforms,No election!!