Tatizo ndio hilo bwashee, nani kamteka? Kwanini isiwe ni chadema yenye vita na ccm?
Ushahidi hamna na mnatuhumu
Usipojua kuna dhuluma hakuna dhulma.
Waislam walio wengi na kwa muda mrefu wanadhani uchaguzi ni vita kati ya waislam na wakatoliki. Au vita Kati ya chadema makristo na ccm bakwata, act waislam.
Na kwa bahati mbaya wakristo nao wanadhani adui yao ni waislam. Na kutokana na ugonjwa huu wa watanzania, leo intelijensia ya chadema haikulioni hili. Chadema ilikuwa na kila sababu ya kumshawishi sheikh Ponda ajiunge chadema ili awe mwakilishi wa waislam.
Ukweli adui yetu ni ukatili inaofanywa na mamluki walio ndani ya ccm. Na wanaifaidika kuwepo kwa ccm madarakani.
Mimi nadhani suluhisho la kuoondoa ccm madarakani ni la kifalsafa (imani). Falsafa (imani) ya ccm na itikadi yake ni Kufuru kwa Ukristo na Uislam. Hivyo tunapoingia ktk uchaguzi tuongie kuondoa imani na itikadi hizi kufuru. Hii ina maana tukiingia kwenye uchaguzi tuongie na slogan mpya inayoakisi kuwajengea wananchi imani na itikadi mpya ya nchi.
Kwa kuwa hali ya kukamatwa, kutekwa, kupotezwa inawagusa wananchi wote, lkn wengi wakiwa mashekhe.
Napendekeza na hasa kwa walewatakaoshiriki kupiga kura waingie kwenye uchaguzi kwa slogan ya "One Nation under God"
Kufuru ya Imani na itikadi ya ccm inatokea wapi.
1. Falsafa au imani ya Ujamaa inayotokana na ukomonist ambao ni imani yenye kuthibitisha kutokuwapo kwa Mungu na wenye msimamo wa kati hawana uhakika.
Hii ni kusema ukiwa Ujamaa makane huamini uwepo wa Mungu.
itikadi ya Usekyula.
Wajamaa wanaunganisha dhana ya kutokuwapo kwa Mungu ya itikadi ya usekula. Usekyula kwao ni kuthibitisha kuwa chanzo cha kutokuwapo kwa Mungu ni ushahidi uliopo kuwa Mungu aliuwawa. Na hajaonekana tena hadi leo.
Hii ni kufuru zaidi kwa imani ya ukristo. Sisi kama waislam tutakuwa upande wenu ktk kuwapinga hawa wanaopigania imani na itikadi hii iendelee kutawala
ONE NATION UNDER GOD