Ww bwege sana yaani mashehe unawachukulia kindezi sana si ndio mpuuzi mmoja ww unaleta mada za kijinga hapa yaani shehe atekwe singida na Zanzibar na wasiojulikana Alafu mashehe waikubali CCM,be serious bwana.Wenzenu wa upande ule kila siku wanaleta mmoja kuipinga serikali na kulazimisha matakwa yao, na kila jumapili wanafanya na kusema kubwa zaidi,
Sasa na nyie kupitia taasisi zenu zooote unganeni mlete mshindo mmoja kuanzia Ijumaa ijayo,
Kila mmoja atetee upande wake kwa nguvu zote
Mkizubaa tu mjue mtakuwa watumwa na wanyonge katika inchi mliyoipigania wenyewe
Hilo halibuti maneno kuntu ya Padri Slaa kuwa ndani ya CHADEMA kuna kikosi cha utekajiMbona hamjawakamata Chadema na kuwapeleka Mahakamani?
Bwege mamamako mpuuzi mamamko, huwezi kujibu hoja pita hivi, mimi sijatukana mtu kwani unitusi?Ww bwege sana yaani mashehe unawachukulia kindezi sana si ndio mpuuzi mmoja ww unaleta mada za kijinga hapa yaani shehe atekwe singida na Zanzibar na wasiojulikana Alafu mashehe waikubali CCM,be serious bwana.
Ni sawa na nyie mnavuojipambanua na kujitengaRasmi umeamua kujieleza.
Udini si mzuri na hauna afya kwa Taifa
October TUNATIKI ✅✅✅✅NO REFORMS, NO ELECTION
Nilitaka kujua kama na ww huwa unakasirika,basi ujue ndio hivyo ndugu za waliotekwa na kuuawa wanaumia sana kwa kupotelewa na ndugu zao.ukiguswa bro lzm upanik.Bwege mamamako mpuuzi mamamko, huwezi kujibu hoja pita hivi, mimi sijatukana mtu kwani unitusi?
Kuna naYame anza kuwashinda sasa naona mme amua kuingia misikitini.
Elewa hii nchi ni yetu sote, wenye dini na wasio na dini, waislam na Wakristo.. Subirini dawa iwa ingie.. No Reforms no Election ndio habari ya mjini
Sasa mpumbavu nani?Bora ungekaa kimya kuficha upumbavu wako!
October TUNATIKI ✅✅✅✅✅No reform no election
Matusi ya nini?Wanatiki matak0
Wasichanganye tu ugali na mboga.Hiyo CHADEMA, inashindanishwa na serikali kweli?
Yaani CHADEMA iwage inateka na kuua,serikali yenye vyombo vyote vya ulonzi na usalama isiwachukulie hatua?
Basi serikali mnaidharau sana.
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURAOctober TUNATIKI ✅✅✅✅✅
Sie waisram hatuna mambo ya hovyo. Ladda Dini yakoNi sawa na nyie mnavuojipambanua na kujitenga
Ni ya kidini tu, hilo halina mjadala bwashee, mbona nawe unafikiria kutumia kinyeo?Kwani wewe unadhani hii vita ni ya kidini ? Wametekwa na kuuwawa ma shekhe wangapi ? Mbona unatumia akili za ki makalio.
Na kweli nyie waisram lakiniSie waisram hatuna mambo ya hovyo. Ladda Dini yako
Thubutuu!!! Tukialikwa tupate pilau soda na ndizi mbivu tu hayo ya October hayatuhusu!!Wenzenu wa upande ule kila siku wanaleta mmoja kuipinga serikali na kulazimisha matakwa yao, na kila jumapili wanafanya na kusema kubwa zaidi,
Sasa na nyie kupitia taasisi zenu zooote unganeni mlete mshindo mmoja kuanzia Ijumaa ijayo,
Kila mmoja atetee upande wake kwa nguvu zote
Mkizubaa tu mjue mtakuwa watumwa na wanyonge katika inchi mliyoipigania wenyewe