toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Mkuu Mangwelele ni mstaafu yupo kama mratb Na mchafu ameshafarki mda mrefu tu Shaban Mdoka(aliens,field marshal, scientist,champion of the champion ronald )yupo hapa java lounge anashrk mashindano
Kana 'ngoma zake' hizo wanaziitaga msitu wa Congo ukiingia hutoki, wenyewe wanasema 'huo ni msitu wa Congo mijusi wanakula watu' hataree kabisa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] alafu ni kadogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kana hatari sana kale kadogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka eti msitu wa kongo
Wakali wengi wa mabao ni 'vimodo' muangalie dogo janja, Issa mamba, Kwata mwivi, Fyatuka nk. Shaban Kiraba ndiye bonge pekee 'anayesukuma kete'.
Me pia ni shabiki sana ila nipo mbali kwa sasa.kweli kabisaaa ntakuja java keshoo leo kazi ila napenda sana huo mchezo
Me pia ni shabiki sana ila nipo mbali kwa sasa.
Huu mchezo tatizo lake mafundi wengi wana mambo ya kishirikina sana
Sure nakubali mkuu...maana ni mrangi yule jamaa..Yuko chabela camp pAle dodoma na kina fyatuka mahisabatiNi Kwata mwivi yaani Kamata mwizi (kirangi hicho).
Uyo dogo sisco nimeskia ni hatari....Kuna timu mpya ya dar iyo , sisco ni moto hatari.
Na wanatamaniana sana na Ronaldo.
Ni moja ya big match inayosubiriwa kwa hamu uko kitunda
Fanya updates mkuu, ukipata video itakuwa makini sana.Mbung inaanza wazee
Fundi wetu pia uyo..ni gwiji Sana Simba wa kongwa..aka tichaSimba wa Kongwa aka Monjo Monjo amefika hadi huko?
Screenshot pia utume tuone miguu ya mabingwaMbung inaanza wazee
Me pia namsikia sijawahi ona balaa lake, ila kama anatunishiana misuli na hao miamba obvious atakuwa ni 'mtata' kwenye mabao.Uyo dogo sisco nimeskia ni hatari....
Niko moro leo..hiyo gaidi Yuko kijiwe gani..nikajifuze miguu mizitoKwa kusema hao ni 'wanafunzi wao' simaanishi hawana ufundi mkuu, wana balaa hao sio kidogo hata ukiwauliza kina Mangwez wanawatambua.
Sema tu zama za kina Mangwelele na wenzake zinaishia wanabaki kuwa malegend kwenye huo mchezo.
Kuna jamaa anaitwa Gaidi wa Moro ushamsikia balaa lake? Aliwakalisha wote hao Moshi kwenye mashindano Oktoba 2019. Nusu fainali alimchana Ronaldo then akamuua Nduli fainali.
Sijui anapatikana wapi kwa Moro, me nilimuona nje ya Moro. Naamini humu kuna wadau toka Moro watasaidia hili.Niko moro leo..hiyo gaidi Yuko kijiwe gani..nikajifuze miguu mizito
Atakua kwenye mashindano na yeye maana kuna timu zaidi ya 30+(kama sijakosea 35),Niko moro leo..hiyo gaidi Yuko kijiwe gani..nikajifuze miguu mizito