Mashindano makubwa ya "drafti" Dar: Noel Namaloe atwaa ubingwa baada ya kumshinda Ronaldo katika fainali

Mashindano makubwa ya "drafti" Dar: Noel Namaloe atwaa ubingwa baada ya kumshinda Ronaldo katika fainali

Kana 'ngoma zake' hizo wanaziitaga msitu wa Congo ukiingia hutoki, wenyewe wanasema 'huo ni msitu wa Congo mijusi wanakula watu' hataree kabisa.

🤣🤣🤣🤣🤣 alafu ni kadogo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kana hatari sana kale kadogo 🤣🤣🤣🤣 nimecheka eti msitu wa kongo
 
Wakali wengi wa mabao ni 'vimodo' muangalie dogo janja, Issa mamba, Kwata mwivi, Fyatuka nk. Shaban Kiraba ndiye bonge pekee 'anayesukuma kete'.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] alafu ni kadogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kana hatari sana kale kadogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka eti msitu wa kongo
 
Wakali wengi wa mabao ni 'vimodo' muangalie dogo janja, Issa mamba, Kwata mwivi, Fyatuka nk. Shaban Kiraba ndiye bonge pekee 'anayesukuma kete'.

kweli kabisaaa ntakuja java keshoo leo kazi ila napenda sana huo mchezo
 
Kuna timu mpya ya dar iyo , sisco ni moto hatari.

Na wanatamaniana sana na Ronaldo.

Ni moja ya big match inayosubiriwa kwa hamu uko kitunda
 
Kwa kusema hao ni 'wanafunzi wao' simaanishi hawana ufundi mkuu, wana balaa hao sio kidogo hata ukiwauliza kina Mangwez wanawatambua.

Sema tu zama za kina Mangwelele na wenzake zinaishia wanabaki kuwa malegend kwenye huo mchezo.

Kuna jamaa anaitwa Gaidi wa Moro ushamsikia balaa lake? Aliwakalisha wote hao Moshi kwenye mashindano Oktoba 2019. Nusu fainali alimchana Ronaldo then akamuua Nduli fainali.
Niko moro leo..hiyo gaidi Yuko kijiwe gani..nikajifuze miguu mizito
 
Niko moro leo..hiyo gaidi Yuko kijiwe gani..nikajifuze miguu mizito
Atakua kwenye mashindano na yeye maana kuna timu zaidi ya 30+(kama sijakosea 35),

Lakini pia ukitaka hao mabingwa ucheze nao kwanza umalize zile copy common zote, yaani sare zake zote uwe unazijua.

Pia uanzie lazima uwe umepita stage hizi, suti, sare 1 , sare 2 , sare 3, kufungana.
Ukifika kwenye kufungana maana yake kila bingwa unasakana nae.

N:B. Ukitaka bingwa aingie na miguu sumu,, ingia mkataba (yaani kitukitu), ndo utaona balaa lake
 
Back
Top Bottom