Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Wewe ndio utakuwa wa kwanza kuja na kauli za aina hiyo.Kakojoe ulale
Unakoelekea ni kubaya, unaweza kudata kabisa!atunywi maji mjini kisa kuwafunga wakimbizi wa kisudani.
Kwani huyo Al ahly kafungwa mara ngapi na mnyama?Hili ndio swali ninalojiuliza iwapo Yanga atatinga hatua ya makundi kombe la Club Bingwa Afrika na kukutana na baadhi ya vigogo na kuwafanga hapa nyumbani au ugenini kwani kwa Yanga hili linawezekana kabisa.
Hii ni kwasbabu baada ya Yanga kutinga makundi kombe la Shirikisho na kufikia fainali, Simba walibadili wimbi wa Yanga hawawezi mechi za kimataifa, na wakaja na santuri mpya kuwa "Yanga anakutana na timu mbovu/dhaifu".
Naomba nianze kubashiri watachosema makolo;
1.Al Ahly(ikitokea tumepangwa nao), hii sio sawa na ya mwaka jana au ile iliocheza na Simba.
2. Yanga imebebwa.
3. Wamebahatisha
4.Hata sisi tuliwafunga,.,n.k
Mmenza mapema!!!Kwani huyo Al ahly kafungwa mara ngapi na mnyama?
Kipindi kile cha corona mlipopata mteremko mlikua mnajiona mmepaaataaTimu haina ligi mnapiga makelele
Sio kuanza, ndio uhalisia. Simba na Yanga washaifunga Al ahlyMmenza mapema!!!
Kwahiyo Simba haijawahi kuifunga El Meleikh?Kipindi kile cha corona mlipopata mteremko mlikua mnajiona mmepaaataa
By the way, Al mereikh yupo daraja moja na al Hilal, kwenye ranking ya CAF Al mereikh yupo Namba 27
Wale power dynamo waliowakosa kuwabaka hata 75 Bora hawamo
Kila siku mnakutana na vihande
Nyasa big bullets
UD songo
Jwaneng galaxy
Premiero de agosto
Na sasa power dynamo
Hao wote hamna hata mmoja anaemkaribia Al mereikh
Hivyo utulie kolo ,huna jipya Zaidi ya kua kubwa jinga unaefeli form 4 kila ukireseat
Embu kwanza tajeni kabisa vigogo ni timu zipi maana kauli zisije kugeuka bafae. Tajeni tuwatambue vigogo kabisaYanga hii unaamini itamfunga kigogo yupi?
Huyo kibonde ambaye nchi yake ipo vitani aliyecheza ukimbizini mmemfunga kwa taaaaaaabu tena kipindi cha pili.
Mmefunga hivyo viwili,basi ndio mnaona vigogo vyote ni vikimbizi eeeeh,Yanga akili ndogo mnoo aiseee
Naunga mkono HOJA...wawataje vigogo mapema[emoji1787]Embu kwanza tajeni kabisa vigogo ni timu zipi maana kauli zisije kugeuka bafae. Tajeni tuwatambue vigogo kabisa
Wanakula nganda mkuu siyo akili zaoSkuiz mashabiki wengi wa simba wanaumwa ugonjwa wa akili msije mkabishana nao ni wagonjwa wa akili mafanikio ya yanga yana waumiza akili sana yaani sana
Jibu swaliKwani huyo Al ahly kafungwa mara ngapi na mnyama?