Mashindano ya CAFCL: Yanga akizifunga timu vigogo barani Afrika, Simba watakuja na kauli gani?

Hili ndio swali ninalojiuliza iwapo Yanga atatinga hatua ya makundi kombe la Club Bingwa Afrika na kukutana na baadhi ya vigogo na kuwafanga hapa nyumbani au ugenini kwani kwa Yanga hili linawezekana kabisa.

Hii ni kwasbabu, baada ya Yanga kutinga makundi kombe la Shirikisho na kufikia fainali, Simba walibadili wimbo wa Yanga hawawezi mechi za kimataifa, na wakaja na santuri mpya kuwa "Yanga anakutana na timu mbovu/dhaifu".

Naomba nianze kubashiri watachosema makolo;

1.Al Ahly(ikitokea tumepangwa nao), hii sio sawa na ya mwaka jana au ile iliocheza na Simba.

2. Yanga imebebwa.

3. Wamebahatisha

4.Hata sisi tuliwafunga, n.k
Tusubiri ratiba ya makundi....ndio tutapata kauli mbiu......Shirikisho sio Champion... 🙂
 
Hili ndio swali ninalojiuliza iwapo Yanga atatinga hatua ya makundi kombe la Club Bingwa Afrika na kukutana na baadhi ya vigogo na kuwafanga hapa nyumbani au ugenini kwani kwa Yanga hili linawezekana kabisa.

Hii ni kwasbabu, baada ya Yanga kutinga makundi kombe la Shirikisho na kufikia fainali, Simba walibadili wimbo wa Yanga hawawezi mechi za kimataifa, na wakaja na santuri mpya kuwa "Yanga anakutana na timu mbovu/dhaifu".

Naomba nianze kubashiri watachosema makolo;

1.Al Ahly(ikitokea tumepangwa nao), hii sio sawa na ya mwaka jana au ile iliocheza na Simba.

2. Yanga imebebwa.

3. Wamebahatisha

4.Hata sisi tuliwafunga, n.k
Naona unazidi kichoma vichaka vya wanasimba

Aahaaaaa
 
Kipindi kile cha corona mlipopata mteremko mlikua mnajiona mmepaaataa
By the way, Al mereikh yupo daraja moja na al Hilal, kwenye ranking ya CAF Al mereikh yupo Namba 27
Wale power dynamo waliowakosa kuwabaka hata 75 Bora hawamo
Kila siku mnakutana na vihande
Nyasa big bullets
UD songo
Jwaneng galaxy
Premiero de agosto
Na sasa power dynamo
Hao wote hamna hata mmoja anaemkaribia Al mereikh
Hivyo utulie kolo ,huna jipya Zaidi ya kua kubwa jinga unaefeli form 4 kila ukireseat
Aaahaaà
 
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom