Mashindano ya CAFCL: Yanga akizifunga timu vigogo barani Afrika, Simba watakuja na kauli gani?

Na Vipi Yanga akifungwa wasemaje?
 
Yani bado unasafari ndefu sana ya kuufahamu mpira.... Kama hutaki endelea kukaza fuvu
 
HUNA AKILI.

AL MEREIKH HII AMBAYO KWAO HATA LIGI HAMNA?
JIULIZE MMEWAFUNGA KWAO AU UGENINI?TOKA MUANZE MNAPATA KUCHEZA NA WAKIMBIZI TU,[emoji23][emoji23][emoji23] NGOJA MPANGWE MAKUNDI NA KINA ÀHLY[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zimeshuka kiwango 😁😁
 
Huwa yanashindwa hata kureason kama hivi,yanabaki na mahaba niue tu
 
HUNA AKILI.

AL MEREIKH HII AMBAYO KWAO HATA LIGI HAMNA?
JIULIZE MMEWAFUNGA KWAO AU UGENINI?TOKA MUANZE MNAPATA KUCHEZA NA WAKIMBIZI TU,[emoji23][emoji23][emoji23] NGOJA MPANGWE MAKUNDI NA KINA ÀHLY[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata msimu uliopita Yanga kila alipokuwa anashinda maneno ndio ya dizaini hayo hayo kuwa amewafunga vibonde. Lakini mwisho wa siku ligi ya vibonde ndiye iliyotoa mfalme wa michuano ya CAF. USM Alger bingwa wa CAF super cup katokea kwenye michuano ya vibonde
 
Yaani haya Mikia FC, Bwimbwi FC, Ngada FC, Ndumba FC hawakosagi sababu.
 
HUNA AKILI.

AL MEREIKH HII AMBAYO KWAO HATA LIGI HAMNA?
JIULIZE MMEWAFUNGA KWAO AU UGENINI?TOKA MUANZE MNAPATA KUCHEZA NA WAKIMBIZI TU,[emoji23][emoji23][emoji23] NGOJA MPANGWE MAKUNDI NA KINA ÀHLY[emoji23][emoji23][emoji23]
Unapayuka payuka tu
Kuandika Kwa herufi kubwa mtandaoni Ni sawa na kupiga kelele
Jibu hoja ,wakati WA corona mlivyokua mnapangiwa kina Galaxy na UD songo walikua na ligi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…