Mashindano ya Drafti kitaifa

Mashindano ya Drafti kitaifa

Mashindano makubwa ya Draft Tanzania yanatarajiwa kufanyika Tar 7 July, 2021

Mshindi wa kwanza anatarajiwa kuondoka na kitita cha shilingi 700,000/-.

Yamepangwa kufanyikia Kinondoni Manyanya.

Mafundi wote unaowajua wanatarajiwa kuwepo.

Baadhi ya mafundi wanaotarajiwa kuwepo ni:

Ronaldo (Field Marshall), Noel, Issa (Meno ya Mamba), Nduli, Dogo Sisqo, Dogo Yassin, Simba Dodoma, Shabani Katoto, Hemedi Gaidi na wengine wengi.

Mtaalamu Mkuu wa Madraft Mr Mangwelele atakuwa mmoja wa waratibu.

Tutaendelea kupeana updates za nini kitakachojiri na kama kuna mabadiliko yoyote.
Mkuu Yataanza Muda Gani?Je,Kuna Gharama Ya Kiingilio au ni Freefall??
 
Unamfahamu mkulima wa mabao ya online, wote hao kawabatua

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ndo maana kuna tournament na zinawekwa kanuni na sheria,,
Na hapo ndo tunawapima mafundi mkuu,,
Nan kaja na nini kwenye kila mashndano husika,,
Kufungana hao mafundi wote hapo wanaweza kufungana..
Ukiwaacha wacheze kawaida kunakucha kbsa
 
Juzi kulikuwa na game kati ya Noel na Simba wa Dodoma, michezo 24.

Noel alishinda 5 kwa 1.

Walichezea Kinondoni Manyanya.
 
Ilikuwa wanaanzishiwa au hakukuwa na shelia hiyo?

Michezo 14 kila mmoja anaanza kete tofauti mpaka zote 7 ziishe. (Wanaita Omary John)

Michezo 10 ya kianzishiana (wanaita tege).

Kwenye 14 walitoka 1 - 1, kwenye 10 ya tege 4 - 0.
 
Michezo 14 kila mmoja anaanza kete tofauti mpaka zote 7 ziishe. (Wanaita Omary John)

Michezo 10 ya kianzishiana (wanaita tege).

Kwenye 14 walitoka 1 - 1, kwenye 10 ya tege 4 - 0.
Katika hiyo tege. Unaruhusiwa kumuanzishia mwenzako kete ya aina moja?
 
Mkuu Yataanza Muda Gani?je ni bure au

Haina kiingilio, yanaanza saa 10.

Itakuwa ya watu 8, baadhi ni Nduli, Noel, Dogo Sisqo, Issa Mamba na Simba, majina mengine bado sijayapata.

Ronaldo (Scientist) bado haijathibitishwa kama atakuwepo.
 
Back
Top Bottom