- Thread starter
- #61
Daaah! Ila naonaga Kama anajionaga Diamond wa madraga.
Anajiita Scientists au Field Marshall!
Na anayajua aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah! Ila naonaga Kama anajionaga Diamond wa madraga.
Mkuu Yataanza Muda Gani?Je,Kuna Gharama Ya Kiingilio au ni Freefall??Mashindano makubwa ya Draft Tanzania yanatarajiwa kufanyika Tar 7 July, 2021
Mshindi wa kwanza anatarajiwa kuondoka na kitita cha shilingi 700,000/-.
Yamepangwa kufanyikia Kinondoni Manyanya.
Mafundi wote unaowajua wanatarajiwa kuwepo.
Baadhi ya mafundi wanaotarajiwa kuwepo ni:
Ronaldo (Field Marshall), Noel, Issa (Meno ya Mamba), Nduli, Dogo Sisqo, Dogo Yassin, Simba Dodoma, Shabani Katoto, Hemedi Gaidi na wengine wengi.
Mtaalamu Mkuu wa Madraft Mr Mangwelele atakuwa mmoja wa waratibu.
Tutaendelea kupeana updates za nini kitakachojiri na kama kuna mabadiliko yoyote.
Basi we utakua noelNipo hapa mkuu
Duuh poa poa mkuu,Mashindano yameahirishwa mpaka Tar 8 August.
Duuh poa poa mkuu,
Logistics hazjakaa sawa nini
Imekaa vizuri hiyo ngoja tusubiriYes, ila makundi tayari yamepangwa, itakuwa makundi 4.
Kila kundi wako wachezaji 10 ambapo wanne ndo wanaotakiwa kusonga mbele hatua ya 16 bora.
Nikuuzie Mbinu mkuu unashingapi? Mana kunajamaa nishamuuzia kopy saiz anakichafua tu huko kwaoDraft nalipenda ila najiona niko ovyo pale kwa dalmax naambulia sare na vipigo vingi
MTutusa kama nyie nawatafutabnawape Mbinu kwa ela sio Burematutusa acha tukae pembeni.
Unamfahamu mkulima wa mabao ya online, wote hao kawabatuaYeah nduli anakomaaga sana ila sa kumi na mbili jion anakufa,
Ila noel kalaniwa yule mtu hamna anaesmama nae kwa sasa,
ngoja tuone hii itakuaje labda wat watakuja na sumu mpya noel atapotea nae.
Mkuu ndo maana kuna tournament na zinawekwa kanuni na sheria,,
Ilikuwa wanaanzishiwa au hakukuwa na shelia hiyo?Juzi kulikuwa na game kati ya Noel na Simba wa Dodoma, michezo 24.
Noel alishinda 5 kwa 1.
Walichezea Kinondoni Manyanya.
Ilikuwa wanaanzishiwa au hakukuwa na shelia hiyo?
Katika hiyo tege. Unaruhusiwa kumuanzishia mwenzako kete ya aina moja?Michezo 14 kila mmoja anaanza kete tofauti mpaka zote 7 ziishe. (Wanaita Omary John)
Michezo 10 ya kianzishiana (wanaita tege).
Kwenye 14 walitoka 1 - 1, kwenye 10 ya tege 4 - 0.
Katika hiyo tege. Unaruhusiwa kumuanzishia mwenzako kete ya aina moja?
Mkuu Yataanza Muda Gani?je ni bure auKesho Manyanya kutakuwa na kipute cha mabingwa wa madanali.
Ni mashindano madogo ya kusubiria ligi iliyoahirishwa.
Mkuu Yataanza Muda Gani?je ni bure au