Mashindano ya kumtafuta bingwa wa draft Tanzania 2022

Mashindano ya kumtafuta bingwa wa draft Tanzania 2022

EXCLUSIVE



Timu
: Nduli Idd Amini Vs Dogo Ally ( Confirmed )




Mdhamini : Mzee Java ( Raisi wa wakongwe wa madanali )




Zawadi: 70,000/= ( Winner 60k na looser 10k )




Lini: Jumamosi, tarehe 9 July 2022 Saa Tisa Kamili




Uwanja: kinondoni Manyanya




Michezo: 24-Omary John + Tege 10 za mzee Ngapu



Mratibu: Masta Mtemi ( 5000)




Photograper:Masta mtemi( 5000 )




Kamisaa: Chande (5000)




Note: Hakutakuwa na mshindi wa pili ila tutakuwa na nauli ya Shilingi elf 10 kwa atakaefungwa



Boss Java amefungua turbo vijana washindwe wao na Sasa Dogo Ally anasema yeye ni Jeshi la Mtu mmoja na anapambana kivyake Msituni potelea mbali watamuulia mbali
Leo ndiyo tarehe 9, na mpambano una saa moja tangu ulipoanza, naomba mrejesho mkuu.
 
Leo ndiyo tarehe 9, na mpambano una saa moja tangu ulipoanza, naomba mrejesho mkuu.
Match update

Venue ...Manyanya stadium

Team ... Nduli
Vs
Dogo ally

Game style... OJ+TEGE 10

MZAMINI... Java

Kamisaa... Rilo
Mpiga picha... Beka

Matokeo ... Nduli 2
Vs
Dogo ally 0

Mchezo wa 7 unaendelea
 
Leo ndiyo tarehe 9, na mpambano una saa moja tangu ulipoanza, naomba mrejesho mkuu.
Match update

Venue ...Manyanya stadium

Team ... Nduli
Vs
Dogo ally

Game style... OJ+TEGE 10

MZAMINI... Java

Kamisaa... Rilo
Mpiga picha... Beka

Matokeo ... Nduli 5
Vs
Dogo ally 1

Tege ya 9 inaendelea
 
Updating Manyanya


1. Kiwembe 1, Noeli 1: wapo mchezo wa kumi na moja


2. Yasini 0, Saiya 0 : Full time


3. Nduli 5 Dogo ally 1 :Full time
 
Kiwembe Vs Noeli:


Goooooooooooooooooooooooooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Kiwembe anaandika kamba ya tatu katika mchezo wa 12,,, Hivyo kiwembe 3, Noeli 1,,Wapo bado omary john
 
Back
Top Bottom