Mashindano ya kumtafuta bingwa wa draft Tanzania 2022

Mashindano ya kumtafuta bingwa wa draft Tanzania 2022

: Kiwembe Vs Noeli:

Gooooooooooooooooooooooooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Mzee kiwembe anaandika kamba ya nne katika tege ya saba,,ikumbukwe tu ni tege aliyoanzishiwa na ndio kapata goli: Kiwembe 4, Noeli 1,,,

wanaenda tege ya saba
 
Updatinga Manyanya

1. Nduli 4, Dogo Ally 1: Full time

2. Saiya 0, Yasini 0 : Full time

3. Kiwembe 4, Noeli 1: wapo tege ya nane

Mjini Manyanya kumechafuka hatariiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Namsubiri bingwa
Bingwa wa nini? HIZI Ni mech za Man to man TU ,niliweka ratiba humu

Mashindano rasmi yanaanza Mwez ujao

Noel bingwa wa Draft kutoka njombe kachezea suti.

Sasa naanza kuamini kwa nn anamkimbia CR7

Kiwembe ana balaa

Juzi ilitakiwa iligwe mech ya Cisco Vs kiwembe

Ikavurugika ,Leo kiwembe mpaka Sasa kampa goli 4 NOEL

DOGO SISCO amesema kiwembe alimkimbia , hivo watakutana kwenye Ligi mwez ujao ,na wapo kundi moja,

Kwasasa wanakimbiana

Wadhamin waliweka Pesa , Game yao haikupigwa
 
What a comeback from kiwembe..sema Ile goal la pili la kiwembe lilikua draw ya wazi sijui kwanini alishindwa kuchomoka..Shaban katoto bado anaumia noel kupigwa,,tupo wote apa Kwa kiwembe tunampongeza
 
Updating Manyanya

1. Nduli 4, Dogo Ally 1: Full time

2. Saiya 0, Yasini 0 : Full time

3. Kiwembe 4, Noeli 1: Full time

Mjini Manyanya kumechafuka hatariiii,,, Fundi Kiwembe anapeperusha tena Bendera ya Mzee Java💪💪💪💪💪💪💪💪💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
What a comeback from kiwembe..sema Ile goal la pili la kiwembe lilikua draw ya wazi sijui kwanini alishindwa kuchomoka..Shaban katoto bado anaumia noel kupigwa,,tupo wote apa Kwa kiwembe tunampongeza
Naisubiri Game ya Kiwembe vs Sisco
 
Nlikua namchek Sisco anavyomuangalia noel alafu anaipitia miguu ya kiwembe kweny dalmax..afu anasikitika
Sisco yule dogo anabalaa , namkubali Sana ,

Mech za mwisho kati ya Cisco Vs Cr7

Na Cisco Vs Noel

Zimeendaje ?

Halafu Kama wanamkimbia sana
 
Sisco yule dogo anabalaa , namkubali Sana ,

Mech za mwisho kati ya Cisco Vs Cr7

Na Cisco Vs Noel

Zimeendaje ?

Halafu Kama wanamkimbia sana
Sikuingia manyanya mda sana ndo nmeingia Leo Sina info sana..Kuna video noel anaojiwa ungeituma,,Raha ya cr7 ni anauwezo mkubwa wa kuchomoka(draw) tofauti na noel ukimshikilia tuu basi
 
Sikuingia manyanya mda sana ndo nmeingia Leo Sina info sana..Kuna video noel anaojiwa ungeituma,,Raha ya cr7 ni anauwezo mkubwa wa kuchomoka(draw) tofauti na noel ukimshikilia tuu basi
Nitairusha ,nikitulia

Katikati Hapa kulikuwa na Maneno Cr7 anamkimbia Sisco

Kuna game Cr7 alipigwa 5-1 na Sisco
Waliporudiana Sisco akafa 1-0

Sasa ikaombwa Tena Irudiwe ,ndipo CR7 na kambi yake wanakimbiakimbia

Nilipata info hizi
 
Wakuu tunaomba hata vipicha vimoja vimoja kutoka eneo la tukio
Si mnajua humu uzi bila picha haunogi😃😃😃
 
Ni kweli watu wanakagua miguu yako..kuna watu pia walikua wanamlaumu kiwembe kwann amecheza kabla ya mashindano.. manyanya kweli noel anaogopeka watu wamefurahi mno
 
Mkuu kumekucha acha kuota..huyo kasikio mbona hata ubingwa wa taifa singida 2017 hakushiriki (kama yuko mwanza na kigezo ni umbali)..?? Au huwaga anachezea geto na wanawe. ?? Ivi mtu atoke kazuramimba aje amfunge ronaldo...!??
Kama una access na ronaldo muulize anamjuaje kasikio pamoja mkenya mmoja anaitwa tommy,ronaldo akikutana na hiyo miamba anapewa maji ya nusu yaani 10000 kwa 5000
 
Kama una access na ronaldo muulize anamjuaje kasikio pamoja mkenya mmoja anaitwa tommy,ronaldo akikutana na hiyo miamba anapewa maji ya nusu yaani 10000 kwa 5000
Ndugu huyo kasikio mbona hajulikani?

Kwenye Online kule Kuna MKULIMA na hapo Manyanya anajulikana na wote

Morogoro Kuna bingwa anaitwa Aradini anafahamika

Huyo kasikio anacheza chumban peke yake?
 
Back
Top Bottom