Bingwa wa nini? HIZI Ni mech za Man to man TU ,niliweka ratiba humuNamsubiri bingwa
Naisubiri Game ya Kiwembe vs SiscoWhat a comeback from kiwembe..sema Ile goal la pili la kiwembe lilikua draw ya wazi sijui kwanini alishindwa kuchomoka..Shaban katoto bado anaumia noel kupigwa,,tupo wote apa Kwa kiwembe tunampongeza
Naisubiri Game ya Kiwembe vs SiscoWhat a comeback from kiwembe..sema Ile goal la pili la kiwembe lilikua draw ya wazi sijui kwanini alishindwa kuchomoka..Shaban katoto bado anaumia noel kupigwa,,tupo wote apa Kwa kiwembe tunampongeza
Nlikua namchek Sisco anavyomuangalia noel alafu anaipitia miguu ya kiwembe kweny dalmax..afu anasikitikaNaisubiri Game ya Kiwembe vs Sisco
Sisco yule dogo anabalaa , namkubali Sana ,Nlikua namchek Sisco anavyomuangalia noel alafu anaipitia miguu ya kiwembe kweny dalmax..afu anasikitika
Sikuingia manyanya mda sana ndo nmeingia Leo Sina info sana..Kuna video noel anaojiwa ungeituma,,Raha ya cr7 ni anauwezo mkubwa wa kuchomoka(draw) tofauti na noel ukimshikilia tuu basiSisco yule dogo anabalaa , namkubali Sana ,
Mech za mwisho kati ya Cisco Vs Cr7
Na Cisco Vs Noel
Zimeendaje ?
Halafu Kama wanamkimbia sana
Nitairusha ,nikituliaSikuingia manyanya mda sana ndo nmeingia Leo Sina info sana..Kuna video noel anaojiwa ungeituma,,Raha ya cr7 ni anauwezo mkubwa wa kuchomoka(draw) tofauti na noel ukimshikilia tuu basi
Shukrani sana tunafuatilia mtanangePoa tutazileta Ndugu
Kama una access na ronaldo muulize anamjuaje kasikio pamoja mkenya mmoja anaitwa tommy,ronaldo akikutana na hiyo miamba anapewa maji ya nusu yaani 10000 kwa 5000Mkuu kumekucha acha kuota..huyo kasikio mbona hata ubingwa wa taifa singida 2017 hakushiriki (kama yuko mwanza na kigezo ni umbali)..?? Au huwaga anachezea geto na wanawe. ?? Ivi mtu atoke kazuramimba aje amfunge ronaldo...!??
Hanahesabu kama rede au.Huko kanda ya ziwa ndio mnajua French, huku dar na mikoa mingi ,hiyo French hawahesabu Kama Ni draft ,
Ndugu huyo kasikio mbona hajulikani?Kama una access na ronaldo muulize anamjuaje kasikio pamoja mkenya mmoja anaitwa tommy,ronaldo akikutana na hiyo miamba anapewa maji ya nusu yaani 10000 kwa 5000