Mashindano ya kumtafuta bingwa wa draft Tanzania 2022

Ndugu huyo kasikio mbona hajulikani?

Kwenye Online kule Kuna MKULIMA na hapo Manyanya anajulikana na wote

Morogoro Kuna bingwa anaitwa Aradini anafahamika

Huyo kasikio anacheza chumban peke yake?
Tatizo ndugu kuanzia singida kwenda Dodoma nakuendelea mnacheza drafts rahisi sana.hamuwezi kushindana na watu kanda ya ziwa Uganda na Kenya.kuhusu ronardo yeye alipasuka mbele ya kasikio mwanza tukarudi na ubingwa.muulize anaikumbuka sana siku ile.
 
Cr7 amemuelezea Kiwembe,baada ya leo Bingwa wa dunia Noel kula 4-1 anasema Kiwembe Ni balaaa
Walicheza nae game 48 akamfunga 1.

Bado naingoja mech ya

Sisco vs Kiwembe
 
Tatizo ndugu kuanzia singida kwenda Dodoma nakuendelea mnacheza drafts rahisi sana.hamuwezi kushindana na watu kanda ya ziwa Uganda na Kenya.kuhusu ronardo yeye alipasuka mbele ya kasikio mwanza tukarudi na ubingwa.muulize anaikumbuka sana siku ile.
Utakuwa unazungumzia madraft yenu French, huku Dar na mikoa ya kidraft hayatambuliki

Kwasasa Kuna mchakato wa kuandaa Rasimu ya mchezo wa draft na kusajiri rasmi na kupata katiba

Lakini sio Hilo draft la kanda ya ziwa,

Kila mwaka mashindano ya kitaifa ya draft huwez kukuta kutoka huko kanda ya ziwa .

Kwasasa Kuna mikoa KABISA inajulikana Ni mikoa ya kidraft na mabingwa wake wanajulikana

Ukienda Moro Kuna Aradin

Njombe Kuna Noel bingwa wa dunia

Hapa Dar ndio Kuna mabingwa Kama wote
 
Ka Sisco ni kajanja kajanja sana kanavizia mnoo..ila hii michezo inabidi uwe unacheza sana chek mabingwa wakipumzika kidg.. cr7 alipigika vbaya na Sisco,, nae nduli alipigika vbaya mno..Leo noel anatoka mkoa kakalishwa mno,,ila Kuna lawama kutoka Kwa timu noel kua Kuna bingwa mkubwa pale hua anatoa ishara za goli Kwa aina flani
 
Nadhan baada ya Era ya kina magwelele , Shaban katoto , CR7 , huyu Sisco na kiwembe Kuna mmoja atasumbua

Mimi Ni team Sisco namkubali Sana,

Mechi ya Sisco na Kiwembe sio yakukosa ,
 
Wanakaguaje? sijaelewa hapaπŸ˜ƒ
Wanapitia playing style yko,, offensive na defensive yako Yani tricks zako Kwa ujumla.. mfano Sisco vs cr7..cr7 alipigika vbaya akachukua Ile miguu ya Sisco akaikagua upya,,walivyorudiana akapigika Sisco ndiyo kama Leo noel amefungwa alivyotoka S.katoto akamfata wakafungua dalmax wakacheza michezo yote aliyofungwa noel..hvyo zamu ijayo wakikutana inabidi kiwembe abadilike tena
 
Shaban katoto huyu mwamba ana balaa Sana

Moja kati ya mafundi wa draft niliowahi kuwaona Tanzania

Ukitoa Enzi ya Magwelele , ilikuja Enzi ya Shaban katoto
 
Nadhan baada ya Era ya kina magwelele , Shaban katoto , CR7 , huyu Sisco na kiwembe Kuna mmoja atasumbua

Mimi Ni team Sisco namkubali Sana,

Mechi ya Sisco na Kiwembe sio yakukosa ,
Nlicheka kiwembe alivyotoka kucheza kumbe alikua anavuja jasho na baridi lote lileπŸ˜‚..uzuri wa cr7 ni mmoja jamaa draft la droo analijua mnoo ukimshikilia rahisi kuchoropoka akikushika yy ndo huipati..ivi mkulima ni nani aseee jamaa ni zaidi ya mtu na nusu yule
 
Shaban katoto huyu mwamba ana balaa Sana

Moja kati ya mafundi wa draft niliowahi kuwaona Tanzania

Ukitoa Enzi ya Magwelele , ilikuja Enzi ya Shaban katoto
Yah ila mm game zake nying naona anakufa tuu Kwa kipind iki nliona alikufa Kwa noel zaidi ya 3..ila bingwa wa manyanya pale Kwa Sasa ni dogo Sisco nazani,,mamba yupo wapi asee
 
Mkulima wengine wanasema ni jamaa yuko kenya
 
Mkulima Yupo nje ya Tz Kwenye WhatsApp group la Draft tz anatumia jina Aman sanga Kama sikosei

Huyu jamaa game zake online anatoa vipigo Sana ,

Kule online nadhan hakuna Kama Yeye
 
Mkuu, kuna mafundi watatu wa Arusha...wallah sidhani kama hao wa Dsm wanafua dafu...let's wait natamani fainali aingie wa Dsm na Chuga
 
Yah ila mm game zake nying naona anakufa tuu Kwa kipind iki nliona alikufa Kwa noel zaidi ya 3..ila bingwa wa manyanya pale Kwa Sasa ni dogo Sisco nazani,,mamba yupo wapi asee
Kwasasa Shaban katoto nasikia kashuka , nilishuhudia Fainal moja tuliandaa mabibo tukawaita mabingwa wa manyanya

Fainal waliingia SISCO VS SHABAN KATOTO

SICSC ALISHINDA 1-0 KWENYE ZILE TEGE 10
 
Mkuu, kuna mafundi watatu wa Arusha...wallah sidhani kama hao wa Dsm wanafua dafu...let's wait natamani fainali aingie wa Dsm na Chuga
Wamealikwa mbona , mwaka Jana kwenye Java cup Arusha walileta fund wao akafa

Hata Mwaka huu Arusha wanaleta fund wao .

Unaijua Manyanya au unaiskia ndugu? Hapo ndipo chuo Cha draft TZ

Mafund wote wa mkoa lazima wakaguliwe hapo Manyanya kinondon
 
Safi sana. Ubunifu mzuri. Onyesheni ''live'' kupitia Youtube kama mnaweza.
 
Sasa nyie mtafuteni huyo bingwa halafu mkishampata mleteni nimfundishe drafti. Yeye aweke jiwe mi nitaweka M1.
 
Mkulima Yupo nje ya Tz Kwenye WhatsApp group la Draft tz anatumia jina Aman sanga Kama sikosei

Huyu jamaa game zake online anatoa vipigo Sana ,

Kule online nadhan hakuna Kama Yeye
Nimetamani kuingia kwenye hilo group
Link sijui naipataje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…