ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
- Thread starter
-
- #221
Swali la kizushi Jaji mkuu ladyfurahia.. Haya ni mashindano ya wenye sura mbaya.. Huyu TIQO yeye avatar yake haijaonyesha sura bali nanihii.. Inaruhusiwa kweli hii..?
eti unasema mimi ni......rudia tena sijakupata vizuri,,,,,,
nashukuru mwayego kwa kunipigia kura ya kula hakika mie ndiye mr sura mbaya wa chit chat
kweli tupu blazablaza kweli...?
Ha ha ha shindano la sura mbaya hilo ni kiboko
narudia wewe una mvuto wa sura mbaya kwani si kweli au nimekosea?
Swali la kizushi Jaji mkuu ladyfurahia.. Haya ni mashindano ya wenye sura mbaya.. Huyu TIQO yeye avatar yake haijaonyesha sura bali nanihii.. Inaruhusiwa kweli hii..?
upo mpinzani wangu????Hujakosea.
St.Apolinary naomba unikopeshe kuraaaaah!!Ha ha ha shindano la sura mbaya hilo ni kiboko
upo mpinzani wangu????
Ha ha ha haaah!! Nipo,,,,,,,hivi matokeo yanatolewa lini?
tuko kwenye kuhesabu kura na tunakesha usiku huu kwani kura ni nyiingi mno
niko na majaji LiverpoolFC, Passion Lady na ladyfurahia tunaomba msutusumbue
nyie ombeni kura mpaka hapo kesho asubuhi ndo mwisho wa zoezi hili na tunamtangaza mshindi
hapa hapa jukwaani una lingine la kusema