Mashine 6 za kuzalisha umeme Kituo cha Ubungo 1 zapata hitilafu, Naibu Waziri atoa maelekezo kwa TANESCO

Tuwe wavumilivu ndugu zangu. Muda si mrefu tutayaleta yale majenereta yetu ya kutumia mafuta mazito, na hivyo umeme utakuwa ni bwerere mtaani.
 
Mshaambiwa mitambo imechakaa inatakiwa mipya mkasema wakati wa Magufuli ilikuwa haikatiki ndio Sasa life span yake imefika mwisho.

Hakuna Cha maelekezo kinachotakiwa ni pesa ikanunuliwe mipya.

Majambazi yapo jikoni yanatamba yatakavyo
 
Hakuna hitilafu bapo ni mbinu za kuuza mzigo wao wa jenereta walizoingiza nchini.
Na mzigo ulivyo mwingi labda February au much ndio utaishi na mgao kupotea
 
Usemi ule wa ng'ombe wa maskini hazai ,akizaa anazaa dume na hatimae anakufa🤔
 

GE walichukua Songas kwa miaka 8, lakini tokea 2017 mpaka 2023, ni miaka sita tu, wakati mkataba ni wa miaka 8, ina maana walishafukuzwa?​


GE to Upgrade Songas’ Ubungo Power Plant , Tanzania​

  • Monday, 5th June 2017
  • by

GE’s Power Services business announced that it signed a multiyear service agreement (MYA ) with Songas to upgrade equipment at Songas’ Ubungo Power Plant in Dar es Salaam, Tanzania, All Africa reported.
The MYA encompasses GE’s Fleet360 platform of total plant solutions, helping Songas ensure the long-term, reliable operation of its power plant. The upgrades will help Songas increase the efficiency and the plant’s capacity at the Ubungo plant by approximately 10 MW. The power plant provides nearly 25% of the power in Tanzania today, Oil News Kenyareported.
“Songas owns 6 gas turbines, including 4 GE LM6000 gas turbines which it has been operating at Ubungo Power Plant since 2004. Songas and GE have been working together for several years to ensure high performances of these turbines. Songas is very pleased about this new initiative with GE to help increase the efficiency and reliability of the plant throughout the duration of its agreement,”said Managing Director of Songas Ltd, Nigel Whittaker.
Under the terms of the deal, GE will upgrade three of the four LM6000 gas turbines in the fleet from the LM6000PA to the LM 6000PC, expected to increase the output of the units from 38 MW to 43 MW each—and reaching output levels of up to 46 MW with GE’s optional SPRINT technology. The eight year MYA, which also includes maintenance and repair of the gas turbines, will help Songas to increase the efficiency of the Ubungo plant to around 41%, which is approximately a 3% improvement.
 
Kuna Diwani amewashauri muwashe mitambo ya IPTL Kwa dharura hamtaki ngoja moto uwawakie Sasa.
 
Mshaambiwa mitambo imechakaa inatakiwa mipya mkasema wakati wa Magufuli ilikuwa haikatiki ndio Sasa life span yake imefika mwisho.

Hakuna Cha maelekezo kinachotakiwa ni pesa ikanunuliwe mipya.
Mkuu wewe ni Mkurugenzi wa Ufundi wa Tanesco?
 
Kuna Diwani amewashauri muwashe mitambo ya IPTL Kwa dharura hamtaki ngoja moto uwawakie Sasa.
Huko ndio lilikuwa lengo la haya yote yanayofanyika...sisi wenye akili tulishajua tangu mwanzo, watu wanataka waanze kupiga pesa za IPTL, wakagawane tena kwenye magunia. IPTL hatuitaki...Bora tulale giza.
 
Huko ndio lilikuwa lengo la haya yote yanayofanyika...sisi wenye akili tulishajua tangu mwanzo, watu wanataka waanze kupiga pesa za IPTL, wakagawane tena kwenye magunia. IPTL hatuitaki...Bora tulale giza.
Coincidence of wants
 










Innocent Makauki

@MakeynovelsInc
·
1h

Naibu waziri Judith Kapinga ameipa Tanesco masaa 2 kurudisha umeme mara moja baada ya kutembelea Ubungo Terminal 1 na kukuta mitambo sita imezima tangu jana usiku.

Tunajua mlikuwa hammtaki Mharage na Makamba; wametolewa sasa mnataka nini tena? Tokeni muanzishe chama cha siasa mkutane kwenye uchaguzi 2025
 
Hivi January yale marekebisho aliyosema anafanya ni yapi?

Iweje tupoteze mashine 10+ kituo 1?

Contingency ni ipi?

Je ikitokea tunapigwa kama Ukraine tutaweza washa umeme kweli?
Wahuni tu
 
Very funny, yet so sad. Watz ni wahujumu uchumi wakubwa sana kuwahi kutokea duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…