Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshaambiwa mitambo imechakaa inatakiwa mipya mkasema wakati wa Magufuli ilikuwa haikatiki ndio Sasa life span yake imefika mwisho.
Hakuna Cha maelekezo kinachotakiwa ni pesa ikanunuliwe mipya.
MtakomaMajambazi yapo jikoni yanatamba yatakavyo
Hakuna hitilafu bapo ni mbinu za kuuza mzigo wao wa jenereta walizoingiza nchini.Naibu Waziri Nishati, Judith Salvio Kapinga ametembelea vituo vya Kuzalisha Umeme, Ubungo 1 na Ubungo 2 ili kuona hali ya uzalishaji wa umeme katika vituo hivi kwa maelekezo ya Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko.
Naibu Waziri anazungumza
Kwenye Kituo cha Ubungo 2, mashine zipo tatu na kila moja inaweza kuzalisha Megawati 43, kati ya hizo moja haifanyi kazi na ipo kwenye matengenezo.
Kituo cha Ubungo 1 kuna mashine 12, zinazofanya kazi ni 6 ambazi kila mashine inazalisha Megawats 42 hadi 43, nyingine zipo kwenye matengenezo, hivyo nimewalekeza TANESCO kuhakikisha wanakuwa na mpango wa marekebisho ya muda mfupi, wa kati na mrefu.
Matengenezo ya muda mfupi yafanyike kwa wakati ili huduma ya umeme iweze kupatikana kwa wakati, hivyohivyo kwa mipango ya marekebisho ya muda wa kati na mrefu.
Kitendo cha kuwa na mashine moja nje ya huduma ni kupoteza umeme mwingi.
Leo pia kwa bahati mbaya Kituo cha Ubungo 1 kimezimika umeme kuanzia usiku hadi muda huu (mchana wa Septemba 29, 2023), mitambo sita ambayo inatakiwa kuzalisha umeme nayo haizalishi.
Wataalam wapo ‘site’ wanahakikisha umeme unarejea, nimewaambia TANESCO kuwa ndani ya saa mbili kituo kiwe kimerejea kufanya kazi na ikishindikana watafute mbadala ya kuhakikisha ndani ya saa sita zijazo uzalishaji wa umeme uwe umerejea kama kawaida ili upatikanaji umeme uimarike.
Mtakoma
😂😂😂😂😂 Natumia umeme wa Nchi jirani Wala haukatiki 🤣🤣🤣🤣Kwani ww una raha? Mbona unateseka tu
Usemi ule wa ng'ombe wa maskini hazai ,akizaa anazaa dume na hatimae anakufa🤔Naibu Waziri Nishati, Judith Salvio Kapinga ametembelea vituo vya Kuzalisha Umeme, Ubungo 1 na Ubungo 2 ili kuona hali ya uzalishaji wa umeme katika vituo hivi kwa maelekezo ya Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko.
Naibu Waziri anazungumza
Kwenye Kituo cha Ubungo 2, mashine zipo tatu na kila moja inaweza kuzalisha Megawati 43, kati ya hizo moja haifanyi kazi na ipo kwenye matengenezo.
Kituo cha Ubungo 1 kuna mashine 12, zinazofanya kazi ni 6 ambazi kila mashine inazalisha Megawats 42 hadi 43, nyingine zipo kwenye matengenezo, hivyo nimewalekeza TANESCO kuhakikisha wanakuwa na mpango wa marekebisho ya muda mfupi, wa kati na mrefu.
Matengenezo ya muda mfupi yafanyike kwa wakati ili huduma ya umeme iweze kupatikana kwa wakati, hivyohivyo kwa mipango ya marekebisho ya muda wa kati na mrefu.
Kitendo cha kuwa na mashine moja nje ya huduma ni kupoteza umeme mwingi.
Leo pia kwa bahati mbaya Kituo cha Ubungo 1 kimezimika umeme kuanzia usiku hadi muda huu (mchana wa Septemba 29, 2023), mitambo sita ambayo inatakiwa kuzalisha umeme nayo haizalishi.
Wataalam wapo ‘site’ wanahakikisha umeme unarejea, nimewaambia TANESCO kuwa ndani ya saa mbili kituo kiwe kimerejea kufanya kazi na ikishindikana watafute mbadala ya kuhakikisha ndani ya saa sita zijazo uzalishaji wa umeme uwe umerejea kama kawaida ili upatikanaji umeme uimarike.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Natumia umeme wa Nchi jirani Wala haukatiki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sola huwezi fanyia kazi za umeme mwingi.Mi mwenyewe nimefunga sola natamba tu hapa
Sola huwezi fanyia kazi za umeme mwingi.
Mtakoma,umeme sio siasa.
Kuna Diwani amewashauri muwashe mitambo ya IPTL Kwa dharura hamtaki ngoja moto uwawakie Sasa.Naibu Waziri Nishati, Judith Salvio Kapinga ametembelea vituo vya Kuzalisha Umeme, Ubungo 1 na Ubungo 2 ili kuona hali ya uzalishaji wa umeme katika vituo hivi kwa maelekezo ya Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko.
Naibu Waziri anazungumza
Kwenye Kituo cha Ubungo 2, mashine zipo tatu na kila moja inaweza kuzalisha Megawati 43, kati ya hizo moja haifanyi kazi na ipo kwenye matengenezo.
Kituo cha Ubungo 1 kuna mashine 12, zinazofanya kazi ni 6 ambazi kila mashine inazalisha Megawats 42 hadi 43, nyingine zipo kwenye matengenezo, hivyo nimewalekeza TANESCO kuhakikisha wanakuwa na mpango wa marekebisho ya muda mfupi, wa kati na mrefu.
Matengenezo ya muda mfupi yafanyike kwa wakati ili huduma ya umeme iweze kupatikana kwa wakati, hivyohivyo kwa mipango ya marekebisho ya muda wa kati na mrefu.
Kitendo cha kuwa na mashine moja nje ya huduma ni kupoteza umeme mwingi.
Leo pia kwa bahati mbaya Kituo cha Ubungo 1 kimezimika umeme kuanzia usiku hadi muda huu (mchana wa Septemba 29, 2023), mitambo sita ambayo inatakiwa kuzalisha umeme nayo haizalishi.
Wataalam wapo ‘site’ wanahakikisha umeme unarejea, nimewaambia TANESCO kuwa ndani ya saa mbili kituo kiwe kimerejea kufanya kazi na ikishindikana watafute mbadala ya kuhakikisha ndani ya saa sita zijazo uzalishaji wa umeme uwe umerejea kama kawaida ili upatikanaji umeme uimarike.
Mkuu wewe ni Mkurugenzi wa Ufundi wa Tanesco?Mshaambiwa mitambo imechakaa inatakiwa mipya mkasema wakati wa Magufuli ilikuwa haikatiki ndio Sasa life span yake imefika mwisho.
Hakuna Cha maelekezo kinachotakiwa ni pesa ikanunuliwe mipya.
Huko ndio lilikuwa lengo la haya yote yanayofanyika...sisi wenye akili tulishajua tangu mwanzo, watu wanataka waanze kupiga pesa za IPTL, wakagawane tena kwenye magunia. IPTL hatuitaki...Bora tulale giza.Kuna Diwani amewashauri muwashe mitambo ya IPTL Kwa dharura hamtaki ngoja moto uwawakie Sasa.
Coincidence of wantsHuko ndio lilikuwa lengo la haya yote yanayofanyika...sisi wenye akili tulishajua tangu mwanzo, watu wanataka waanze kupiga pesa za IPTL, wakagawane tena kwenye magunia. IPTL hatuitaki...Bora tulale giza.

Wahuni tuHivi January yale marekebisho aliyosema anafanya ni yapi?
Iweje tupoteze mashine 10+ kituo 1?
Contingency ni ipi?
Je ikitokea tunapigwa kama Ukraine tutaweza washa umeme kweli?