Nachangia hapo,incubator sio kwamba zinatotolesha ktk siku 21 kama fundi mwenzangu wa incubator ulivyosema,bali nasahihisha hapo kuwa incubator kazi yake ni kuzalisha joto kulingana na joto litakiwalo na ndege anaeatamia,pamoja na unyevu.
MUDA WA KUTOTOLEWA MAYAI UNATEGEMEA AINA YA MAYAI NI YA NDEGE GANI.KWA KUKU NI SIKU 21,BATA WANATOFAUTIANA,KUNA WA SIKU 28,NA SIKU 35,KWARE WA JAPANI SIKU 18 .
KWA MSAADA ZAIDI KIUTAALAM WADILIANA NAMI.
0784413039