Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kifupi DJ Trump ni disaster.Tuorodheshe hapa mashirika na taasisi pamoja na miradi inayofadhilwa na serikali ya Marekani ambayo itaathirika moja kwa moja na uamuzi wa serikali ya Marekani chini ya Donald Trump wa kusitisha ufafhili iwe ni kupitia shirika la misaada la Marekani (US AID) au vinginenyo
Jobless people wanakwenda kuongezeka.Kifupi DJ Trump ni disaster.
That’s just a wake-up call. Tuna sababu gani ya kuwa taifa ombaomba kwa zaidi ya miaka 60?Tuorodheshe hapa mashirika na taasisi pamoja na miradi inayofadhilwa na serikali ya Marekani ambayo itaathirika moja kwa moja na uamuzi wa serikali ya Marekani chini ya Donald Trump wa kusitisha ufafhili iwe ni kupitia shirika la misaada la Marekani (USAID Tanzania) au vinginenyo
Nimeingia website ya USAID nimekuta ni miradi mingi hasa ya afya(UKIMWI, KIFUA KIKUU, MALARIA, n.k) lakini pia kuna miradi ya mazingira, mambo ya haki za binadamu, utawala bora na demokrasia na miradi mingine mingi.That’s just a wake-up call. Tuna sababu gani ya kuwa taifa ombaomba kwa zaidi ya miaka 60?
And Chief Hangaya goes begging shamelessly!Nimeingia website ya USAID nimekuta ni miradi mingi hasa ya afya(UKIMWI, KIFUA KIKUU, MALARIA, n.k) lakini pia kuna miradi ya mazingira, mambo ya haki za binadamu, utawala bora na demokrasia na miradi mingine mingi.
Kwa hakika hili litakuwa ni pigo kubwa labda tu watuhurumie waisiifute miradi mingi.
Sisi ni tegemezi mpaka aibu.
Hela wananunulia mabasi ya CCM wakati udhibiti wa magonjwa yanayoua watanzania wengi tunategemea Marekani watusaidie.And Chief Hangaya goes begging shamelessly!
Disaster kivipi wakati wao ni mabeberu na wanyonyaji kama tunavyokaririshwa na watawala?Kifupi DJ Trump ni disaster.
Wakati huo nyege atakabidhiwa nani azifungie kuzimu na funguo azifiche?ARV za bure zinachangia ongezeko la maambukizi ya UKIMWI. ARV zikiwa adimu na kwa gharama watu wataogopa UKIMWI.
Hali ikiwa ngumu ndiyo akili zitarudi kwenye active mode kutoka extinct mode.Na mambo ya muhimu tutayakomalia kama wananchi.Hela wananunulia mabasi ya CCM wakati udhibiti wa magonjwa yanayoua watanzania wengi tunategemea Marekani watusaidie.
Tumelaniwa kabisa!
Tena Trump aongeze shariti la nchi kuwa na demokrasia( tume huru za uchaguzi, n.k) kabla ya misaada kurudishwa.Hali ikiwa ngumu ndiyo akili zitarudi kwenye active mode kutoka extinct mode.Na mambo ya muhimu tutayakomalia kama wananchi.
Wakisema hivyo tutakaa tayari kusikia Wassira na Makalla watakavyojikanyaga hovyo kwa hofu.Tena Trump aongeze shariti la nchi kuwa na demokrasia( tume huru za uchaguzi, n.k) kabla ya misaada kurudishwa.
kifupi sisi ndo mafala tunapenda vya bure kupita kiasiKifupi DJ Trump ni disaster.
Kabisa.Watufundishe umuhimu wao hapa duniani.Unakuta mtu mzima amechachamaza misuli anawasifia wachina na warusi halafu matusi anaporomosha kwa USA na wazungu wa Europe.Waminye kitufe hadi heshima itangulie mbele kama matiti ya msichana.Wacha Trump atuoneshe umuhimu wa USA kwenye hii dunia kwa kujitoa maana mmezidi kushoboka na MRUSI ambae hana mambo ya Humanitarian
Watu wakiona wenye ngwengwe wakihangaika bila ARV watazingatia ngono salama.Wakati huo nyege atakabidhiwa nani azifungie kuzimu na funguo azifiche?