Mashirika na Miradi inayofadhiliwa na serikali ya Marekani itayoathirika na maamuzi ya Donald Trump

Mashirika na Miradi inayofadhiliwa na serikali ya Marekani itayoathirika na maamuzi ya Donald Trump

Jobless people wanakwenda kuongezeka.

Hivi serikali ikisitisha ununuzi wa mashangingi tu, haiwezi fidia hilo gap?

Kama shangingi moja linafika mpaka milioni 500 au miloni 600, hizo fedha haziwezi kugharamia ununuzi wa ARV na gharama zingine zinazohusiana na miradi ya aina hii?
Kupanga ni kuchagua. Je tununue shangingi moja kwa afisa mnene mmoja wa Serikali au tutumie fedha hizo kuokoa maisha ya Watanzania wenzetu wanaohitaji matibabu ya ARV?
 
Kuvunja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi, ngoma zinalia kwa sauti kubwa sana. Kinachotendeka ndani ya USAID kinawatafuna wengine. Mzee Trump shikamoo, Restless Development kimewalamba barabara.
Screenshot_20250222_093248_Gmail.jpg


Bakuli limeanza kupita mapema sana! Bado hamjasema. Trump kazana hapo hapo.
 
 
Back
Top Bottom