ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 7,895
- 13,643
Kwa sababu hawakuona UKIMWI wa late 80s to 90s.Hawa watoto wa 2000 hawaogopi UKIMWI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu hawakuona UKIMWI wa late 80s to 90s.Hawa watoto wa 2000 hawaogopi UKIMWI
Ni kweli. Maana kipindi hicho AIDS ilikuwa inaua vibaya sana. Mtu anakonda anaishaKwa sababu hawakuona UKIMWI wa late 80s to 90s.
Over 60 years of independence bado tunaishi kwa kutegemea misaada! Sisi ni wajinga sana, na bado tunawashangilia watu wanaofuja na kuuza rsilimali za nchi!Nimeingia website ya USAID nimekuta ni miradi mingi hasa ya afya(UKIMWI, KIFUA KIKUU, MALARIA, n.k) lakini pia kuna miradi ya mazingira, mambo ya haki za binadamu, utawala bora na demokrasia na miradi mingine mingi.
Kwa hakika hili litakuwa ni pigo kubwa labda tu watuhurumie waisiifute miradi mingi.
Sisi ni tegemezi mpaka aibu.
Miaka ile kumjua victim hakukuhitaji vipimo.Ni kweli. Maana kipindi hicho AIDS ilikuwa inaua vibaya sana. Mtu anakonda anaisha
Kunà mwafrika ànayeogopa ukimwi?ARV za bure zinachangia ongezeko la maambukizi ya UKIMWI. ARV zikiwa adimu na kwa gharama watu wataogopa UKIMWI.
Sasa povu la nini kwa Trump?Kunà mwafrika ànayeogopa ukimwi?
... tatizo ni moja, sio tu Marekani wanasitisha misaada bali hata kufuatilia Demokrasia na utawala bora pia wataacha! ... sasa mwananchi atabeba dhiki zote za kukosa misaada na utetezi dhidi ya watawala wabovu, ... mbona sisi wanyonge tayari tumeishafungwa tatu bila!!!?Wacha Trump atuoneshe umuhimu wa USA kwenye hii dunia kwa kujitoa maana mmezidi kushoboka na MRUSI ambae hana mambo ya Humanitarian
Africans are useless creatures and ahuld be wiped off the face of the earthHela wananunulia mabasi ya CCM wakati udhibiti wa magonjwa yanayoua watanzania wengi tunategemea Marekani watusaidie.
Tumelaniwa kabisa!
Una hasira sana baada ya Mbowe kupigwa chiniNyie kima mnawaza chaguzi tuuu ulivyo mjinga unataka Trump akuletee tume huru? Si mlisema Lissu ataileta? Leo unataka Trump akuletee? Mna akili Za kishenzi sana nyie kima.
... huwa mnapenda zaidi mbwembwe zake za mivaaji ua vijikauli vyake?Yeye mwenyewe alikwenda kukopa China tena mikopo ghali halafu unataka kumsifia nini hapa?
Ibrahimu Taore pekee ndio kiongozi wa mfano kwa Afrika ya sasa.
Ulitaka aache kukopa kwa ghafla tu?Yeye mwenyewe alikwenda kukopa China tena mikopo ghali halafu unataka kumsifia nini hapa?
Ibrahimu Taore pekee ndio kiongozi wa mfano kwa Afrika ya sasa.
Wewe, ungejiuliza kwanza kwa nini Afrika ndo Kuna wagonjwa wengi wa Hiv kuliko huko Marekani na Ulaya?ARV za bure zinachangia ongezeko la maambukizi ya UKIMWI. ARV zikiwa adimu na kwa gharama watu wataogopa UKIMWI.
Lakini mkuu hiyo miradi tangu ianze imeleta nini kipya Cha kunufaisha taifa Kwa ujumla?Nimeingia website ya USAID nimekuta ni miradi mingi hasa ya afya(UKIMWI, KIFUA KIKUU, MALARIA, n.k) lakini pia kuna miradi ya mazingira, mambo ya haki za binadamu, utawala bora na demokrasia na miradi mingine mingi.
Kwa hakika hili litakuwa ni pigo kubwa labda tu watuhurumie waisiifute miradi mingi.
Sisi ni tegemezi mpaka aibu.
Walisema ni kichaa, ila hayo maamuzi ya Trump kama angekua kayafanya Magufuli wangesema ni kichaa.Suluhisho litaletwa na nani?
Magufuli alikuwa wa kuungwa mkono ila kwa sababu Sisi ni wapumbavu na akili za kitumwa tukaona anatupeleka shimoni
Mbongo anafanya sana ngono zembe ila akisikia mtu ana ukimwi ndio anaogopa kufanya nae ngono et kwa kuogopa kuambukizwa ukimwi, wakati huo yeye hajapima kujua afya yake na mshiriki wa ngono zembe.Kunà mwafrika ànayeogopa ukimwi?
Kuna vitu tunaweza kuona ni misaada ila athari zake hutujenga hali ya ujinga na kujiona hatuwezi kufanya wenyewe, kama hata kudai baadhi ya haki zetu ndani ya nchi yetu tutegemee kupewa msaada na wengine hilo ni tatizo hututia ujinga.... tatizo ni moja, sio tu Marekani wanasitisha misaada bali hata kufuatilia Demokrasia na utawala bora pia wataacha! ... sasa mwananchi atabeba dhiki zote za kukosa misaada na utetezi dhidi ya watawala wabovu, ... mbona sisi wanyonge tayari tumeishafungwa tatu bila!!!?
Ni vitu vingi vya ajabu tunafanya waafrika na serikali zetu wakati tuna raslimali za kutosha kutoka misiti, bahari ,mbuga za wanyama, mito ,fikiria tu china kipindi like magufuli alishika meli yao. Kupitia bahari tu kuna billions of money. Why tuna rasilimali za kutosha lakini hatuwezi kutumia? Hata zikikusanywa zinaibiwa.Hela wananunulia mabasi ya CCM wakati udhibiti wa magonjwa yanayoua watanzania wengi tunategemea Marekani watusaidie.
Tumelaniwa kabisa!