Mashirika na Miradi inayofadhiliwa na serikali ya Marekani itayoathirika na maamuzi ya Donald Trump

Mashirika na Miradi inayofadhiliwa na serikali ya Marekani itayoathirika na maamuzi ya Donald Trump

Jobless people wanakwenda kuongezeka.

Hivi serikali ikisitisha ununuzi wa mashangingi tu, haiwezi fidia hilo gap?

Kama shangingi moja linafika mpaka milioni 500 au miloni 600, hizo fedha haziwezi kugharamia ununuzi wa ARV na gharama zingine zinazohusiana na miradi ya aina hii?
Honestly suala la jobless si la D.TRUMP, hilo ni tatizo la tz la kuegemea misaada na kujisahau.
Nchi ina matumizi mabaya ya pesa, kwa mfano hakuna haja ya kununua V8, Vx Aor latest LC kila budget mpya
 
Unahitaji mashang'ing'i 20 ya gharama hiyo, kufanya clandestine move ya kuwafungia Wataalamu wetu wa magonjwa na tiba sehemu kwa miaka mitatu baada ya hapo wanakuletea tiba na chanjo ya Ukimwi Tena vyote vyenye ufanisi wa 99.9%.
pesa ya reasearch tu kwenye project kubwa haitoshi hatupeleki
Na ingekuwa rahisi kiasi hiko serikal nyingo duniani zingeshafanya
 
pesa ya reasearch tu kwenye project kubwa haitoshi hatupeleki
Na ingekuwa rahisi kiasi hiko serikal nyingo duniani zingeshafanya
Serikali yetu imejaribu lini na matokeo yake yakawa mabovu? Ni vipaumbele tu! Kama ARV Kuna kupata kamisheni ...hawahangaiki na kutafuta tiba ama chanjo zitakazoondoz kamisheni hiyo nadhani!
 
Serikali yetu imejaribu lini na matokeo yake yakawa mabovu? Ni vipaumbele tu! Kama ARV Kuna kupata kamisheni ...hawahangaiki na kutafuta tiba ama chanjo zitakazoondoz kamisheni hiyo nadhani!
One time sua walikuwa wanafanya such reasearch although wao wali major kwneye kilimo zaidi, (sifaham kada zingine)

Ila kwa muda wangu ambao nili serve nikiwa tz. Ili research yako ipate funds lazima utoe 10% , na isafishe jina la serikali. Hata kama ni research mbovu
 
Wacha Trump atuoneshe umuhimu wa USA kwenye hii dunia kwa kujitoa maana mmezidi kushoboka na MRUSI ambae hana mambo ya Humanitarian
Tusihofu wachina na waarabu pia watatusaidia maana ndo tunaowasifia na kuwahusudu sana siku hizi kwamba wako karibu na sisi wabongo!
 
Tena Trump aongeze shariti la nchi kuwa na demokrasia( tume huru za uchaguzi, n.k) kabla ya misaada kurudishwa.
Nyie kima mnawaza chaguzi tuuu ulivyo mjinga unataka Trump akuletee tume huru? Si mlisema Lissu ataileta? Leo unataka Trump akuletee? Mna akili Za kishenzi sana nyie kima.
 
Ujinga tu, miaka ya 90 hakukuwa na ARV Mbona maambukizi mapya ndio yalizidi?

Zikifutwa ARV za bure hapa Tanzania patachimbika. Itakuwa ni hatari kubwa mno.
Kwahiyo watu wanafanya ngono zembe kwa hisana ya kodi za watu wa Marekan.
 
Back
Top Bottom