Mashirika na Miradi inayofadhiliwa na serikali ya Marekani itayoathirika na maamuzi ya Donald Trump

Kodi ikikusanywa vizuri kwenye sekta ya madini, Bandari na hifadhi za taifa. Halafu tukasitisha matumizi yasiyo ya lazima kama kununua mashingingi na safari za nje zisizo na kichwa Wala miguu, tutaweza kumudu vitu vya msingi kama madawa na huduma nyingine za jamii, na kuacha kuwa ombaomba..
 
Je watafata huu ushauri?

Viongozi hawa walivyo walafi
 
Magufuli alikuwa anawazindua kwamba ni muda wa kujitegemea tuache kuwategemea hao wazungu mkaanza kubweka eti anaua democrasia.

Haya kuleni democrasia sasa
 
USAID huwa hawapokei tu pesa kutoka Serikali
 
Trump ni Chizi
 
Magufuli alikuwa anawazindua kwamba ni muda wa kujitegemea tuache kuwategemea hao wazungu mkaanza kubweka eti anaua democrasia.

Haya kuleni democrasia sasa
Yeye mwenyewe alikwenda kukopa China tena mikopo ghali halafu unataka kumsifia nini hapa?

Ibrahimu Taore pekee ndio kiongozi wa mfano kwa Afrika ya sasa.
 
Kifupi DJ Trump ni disaster.
Anatufundisha kujitegemea; haiwezekani tuna umri wa almost 70 years from uhuru halafu hadi matundu ya vyoo vya shule tunataka kusaidiwa, tuache upuuzi. Tunaweza kununua magari ya anasa kwa hadi Tsh 500B halafu hatuwezi kuchimba vyoo, pumbafu. Trump katumwa na Mungu, shida kipimo cha akili
 
500 au miloni 600, hizo fedha haziwezi kugharamia ununuzi wa ARV na gharama zingine zinazohusiana na miradi ya aina hii?
Unahitaji mashang'ing'i 20 ya gharama hiyo, kufanya clandestine move ya kuwafungia Wataalamu wetu wa magonjwa na tiba sehemu kwa miaka mitatu baada ya hapo wanakuletea tiba na chanjo ya Ukimwi Tena vyote vyenye ufanisi wa 99.9%.
 
Chadema na wazalendo hamtoathilika na chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…